Wako anataka nini?

ndio tunashida lakini sii ya kula miguu ya kuku dada ngaiii, nyama ya utumbo, dagaa, bamia maagizo ya kawaida siku nyingine tunakamua hata na juisi za machungwa hayo ya embe ngo'ng'o subiri ujaa uzito na nyie wa uzunguni mta ya agiza tu.
 
Utakumbuka kununua gas au uache niondoke na mtungi mm.
 
. Pearl Umehukumu kulingana na maeneo sasa unataka tukuambie nini wakati maisha yetu yamefarakana kulingana na maeneo? Please never say die until you die; so never be bias on asking question regarding love as money/location have nothing to do with it.
 
wala sijahukum!mm nimesema kama nilivyosikia hao watu wawili wakiagiza mahitaji yao,mm mwenyewe dem wa Tandale nikiagiza naanza hivi:bby naomba ukirudi kama utakuwa na pesa uje vitu vya jikoni vimeisha,naomba usisahsau viazi tupike chips maana hela ya kukunua kwa jili ya familia nzima hatuna.
 
ndio tunashida lakini sii ya kula miguu ya kuku dada ngaiii, nyama ya utumbo, dagaa, bamia maagizo ya kawaida siku nyingine tunakamua hata na juisi za machungwa hayo ya embe ngo'ng'o subiri ujaa uzito na nyie wa uzunguni mta ya agiza tu.
Si mpaka wakati wa ujauzito............kila siku hao wanaojiita wa uzunguni kule kilimanyege nao wamo.............. KWANI UNADHANI VILE VISAMAMKI VINAVYOUZWA KWA VIBATARI PALE KOKO BICHI ANANUNUA NANI...??? KAMA SI WAO...??? Kuna mtu wa uswazi anayekwenda kununua pale...Yaani mtu atoke gongolambotot akanunue samaki wa kukaanga koko bichi?? kwa kweli wanayamisi sana maisha yetu ya uswaziii...........
 
leo usinywe Tusker nyingi,Mtalimbo usijelala doro kama siku ile...Hujui kesho Public holiday???
 

Hii ya miguu ya kuku nimependa sana.
 
Always zimeisha naomba niletee kipenzi changu!πŸ˜€
 
Mh, mi wangu yaani ni ndoa ya miaka mitano sasa lakini hajawahi kuniambia kitu kama hicho! loh! hadi aibu!
 
Pape, leo unatoka kazini saa ngapi? basi leo jioni nitaenda kitchen party na sitorudi kabisa! Nitalala kwa shoga zangu kwahiyo uje ujipikie!! Usisahau kuosha vyombo na kupiga deki bafuni na msalani! Kisha asubuhi uwahi kuamka na ufagie uwanja na kupiga deki sebule. Kabla hujaenda kazini unifulie zile 'kufuli' zangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…