Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
ndio tunashida lakini sii ya kula miguu ya kuku dada ngaiii, nyama ya utumbo, dagaa, bamia maagizo ya kawaida siku nyingine tunakamua hata na juisi za machungwa hayo ya embe ngo'ng'o subiri ujaa uzito na nyie wa uzunguni mta ya agiza tu.Mke anaeishi MASAKI akimuagiza mumewe"honey plz ukitoka kazini nilitee soseji,piza au kuku,plz swty usisahau"
Ishu ipo kwa Mke wa TANDALE"Utackia "wewe Juma usisahau ukirudi uje na miguu ya kuku,muhindi wa kuchoma weka na ndimu na pilipili nyingi,embe ng'ong'o,mihongo ya kukaanga na utumbo wa kuku usisahau kuweka ndimu na pilipili"
WW MKEO/MUME NI WA WAPI?ANAANGIZA VIPI?