Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh, kweli basi bila shaka G nako ndiye aliyekuwa walauIbra dawa zilimuharibu ila yuko vizuri,alishawahi kwenda mpaka sober house,bou muhuni uyo ategemei muziki ili aishi ndo maana hakua na weusi ili asitoke sana nje ya chuga,anauza sana mjani
Stopper kuna ngoma aliimba ni cover ya wimbo wa Man Down ya Rihhana...nautafuta sana.Yule mwingine wa mtu tatu ndani ya track moja yuko wapi?
Bou kweli namuonaga na bajaji yake Chuga. Mtu wa story na kujichanganya sana. Lord Eyez afya imerudi, kipande cha mtu.Bou Nako anaendesha Bajaj zinapaki hapo juu ya Sheikh Amri Abeid Stadium Arusha, Ibra anaendelea kula unga Dar
"Stoppa the Rhyme Maker" . Hii gemu ime_dissapoint watu sana.Yule mwingine wa mtu tatu ndani ya track moja yuko wapi?
Sio siri ile Nako 2 Nako ilikuwa ya moto kweli kweli. Haitakaa itokee.chugastan haitakuja kutoa wasanii wakali kama nako2nako..
wale nyeusi ni mashololo sana!!
lord eyes yule jombaa alikuwa anashusha mistari hadi una feel
Sijui kwa nini. Ila inawezekana ni makubaliano yao tu na madini aliyokuwa nayo mchizi yalikuwa relevant zaidi kwa hiyo ngoma.Hivi kwanini kwenye hawatuwezi Lord Eyez aliimba verse mbili na wengine hawakushiriki?