Wako wapi Bou Nako na Ibra Da Hustler?

Wako wapi Bou Nako na Ibra Da Hustler?

Nafaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
12,154
Reaction score
31,246
Hawa jamaa walikuwa vizuri sana enzi za kundi la Nako2nako. Mfano Ibra nadhani alikuwa anakubalika kuliko hata G Nako.
Ila siki hizi siwasikii kabisa.

Hivi bado wanafanya mziki au waliachana na hii fani?
 
Ibra dawa zilimuharibu ila yuko vizuri,alishawahi kwenda mpaka sober house,bou muhuni uyo ategemei muziki ili aishi ndo maana hakua na weusi ili asitoke sana nje ya chuga,anauza sana mjani
 
Ibra dawa zilimuharibu ila yuko vizuri,alishawahi kwenda mpaka sober house,bou muhuni uyo ategemei muziki ili aishi ndo maana hakua na weusi ili asitoke sana nje ya chuga,anauza sana mjani
Duh, kweli basi bila shaka G nako ndiye aliyekuwa walau
 
Ibra yuko bize na wanaye wa dojo na ngumi, salimia Geranimo Prat kwa fasi ya dwasi uduanzi.

Muziki haulipi ambieni madogo waamke.
Jamaa nlikuwaa napenda mistari yake kinoma. Yani anakupa neno na kulitafsiri. Nakaanyaga, na press.
 
Hawa hapa kiongozi...!

images (40).jpeg
images (41).jpeg
 
chugastan haitakuja kutoa wasanii wakali kama nako2nako..
wale nyeusi ni mashololo sana!!
lord eyes yule jombaa alikuwa anashusha mistari hadi una feel
 
chugastan haitakuja kutoa wasanii wakali kama nako2nako..
wale nyeusi ni mashololo sana!!
lord eyes yule jombaa alikuwa anashusha mistari hadi una feel
Sio siri ile Nako 2 Nako ilikuwa ya moto kweli kweli. Haitakaa itokee.
 
Sio siri ile Nako 2 Nako ilikuwa ya moto kweli kweli. Haitakaa itokee.
Hivi kwanini kwenye hawatuwezi Lord Eyez aliimba verse mbili na wengine hawakushiriki?
 
Hivi kwanini kwenye hawatuwezi Lord Eyez aliimba verse mbili na wengine hawakushiriki?
Sijui kwa nini. Ila inawezekana ni makubaliano yao tu na madini aliyokuwa nayo mchizi yalikuwa relevant zaidi kwa hiyo ngoma.
 
Back
Top Bottom