Wako wapi hawa mastaa waliotikisa sana ulimwengu wa muziki

Mimi nawajua na wadownload na kuwasikiliza na kuwapenda wanamuziki wa miaka 20 kabla cjazaliwa . ni jinsi tu unavyotaka uwe
Utafiti wangu unaonyesha wachangiaji wote kwenye huu uzi wako above 40 yrs. Huwezi kua unawafahamu hao manguli wa RnB wa miaka ya 90 kama wewe ni wa enzi ya JK [emoji3]
 
Wengine hamuwasikii huko lkn bado wapo sana tuu. USA ndio soko kubwa la miziki duniani na ina wanamuziki wengi very popular kwao lkn hawavumi sana nje.
 
Vyema kabisaa umesema
 
Master P
Sisco
Dru Hill
ODB
Laurine Hill
Shania Twain
KCI & JOJO
Keith sweet
REY J
MONICA
COOLIO
CRAIG DAVID
ALL 4ONE

Baadhi walihamishia passion zao kwenye uigizaji kama:
Tyreese
Ice Cube
Quincy
Ludacris
XBIT
Willy Smith
Qeen Latifa
Mkuu wewe ni OLD TIMER ,hiyo list ni ya wakongwe wa 80's-90's Naught by nature-Treach , Mc Lyte , Jon B ,Kevin Campbell etc
 
ABBA
Marcus Hernandez
Bryan Adams
Brian McKnight
George Michael
Joe
Leona Lewis
Mack Anthony
Michael Bolton
Savage garden

Nataman Whitney Houston angekuwepo
Marc Anthony kwa sasa anaoongoza taasisi inayofahamika MAGNUS ikiwa na subsidiaries Magnus Music, Records, Film, Sports, Villas and co... Wanahusika mambo mengi but mainly ndio record label ya Gente de Zona, Hilary Music, Grini & co.

ABBA wapo Uswidi wanaendelea kutayarisha muziki na kuvumbua vipaji.
 
Christina Millan ameishi sana kwenye wall paper za Samsung L6 na Nokia enzi hizo, she was so beautiful back then

Love don't cost a thing? Now who said that
Big pimpin' and ballin' who made it?
I'm in that new hummer with spinnin' wheels
And aww man, check out the grill!
Money, Gucci sandals, strip leather
I'm lookin' for that ghetto Cinderella
Choppa call me up, it's off the heezy
Now we tag teamin' for sheezy. -- Master P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…