Wako wapi hawa mastaa waliotikisa sana ulimwengu wa muziki

ABBA
Marcus Hernandez
Bryan Adams
Brian McKnight
George Michael
Joe
Leona Lewis
Mack Anthony
Michael Bolton
Savage garden

Nataman Whitney Houston angekuwepo
Marcus Hernandez - If you were mine ili hit sana ilo pini.

Eternal ft Bebe Winans - I wanna be the only one.

Lady May ft Blu Cantrell - Round Up.

Donnel Jones

Next (RL).
 
Kuna kina Bow wow,chamilionere,busta rhymes,eminem,redman,big dady kane,daaaa mamton ili kuwa noma sana
 
Same era, tuliburudishwa sana na hawa watumbuizaji.
 
Umetisha mkuu
 
Utafiti wangu unaonyesha wachangiaji wote kwenye huu uzi wako above 40 yrs. Huwezi kua unawafahamu hao manguli wa RnB wa miaka ya 90 kama wewe ni wa enzi ya JK πŸ˜€
Hapa malegendary tu ndo tunakutana πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚
 
Nimesoma uzi wote ila sijaona Jina la mtaalam 2Pac Amaru Shakur na Hasimu wake Notorious BIΔ’ aka Big Smalls...na kwa hapa bongo IIproud..aka Mr Two aka Sugu..
Tunazungumzia walio hai mkuu
 
Chingy
Iyaz
Sean kingstone
Shaggy
Bow wow
Ashanti
Keyshia cole
Jordan spark
 
Kmmk πŸ˜‚ πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…