Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wengi wamebadilisha gia angani kama MBOWE...Wasalaam,
Hivi hawa dada zetu wasanii wamepotelea wapi?
Nlikuwa nawakubali sana.
1. Enika
2. Dataz
3. Rah P
4. Paulin Zongo
5. Grace Matata
Na pia ningependa kujua hawa wasanii wa kiume wametokomea wapi?
6. Mike T (Mnyalu)
7. Stan Boy (East Coast Team)
8. Rado
9. Steve RnB
10. Chindo Man
Mbona kimya sana na vipaji wanavyo?
Naomba tujuzane.
Jifunze kujibu hoja... mleta mada hajauliza "nani alishawahi kaa na mmoja wao"..Daaa huyu sister tulishawahi kaa naye sehemu moja miaka ya nyuma, ghafla kapotea tu.
Na kwenye gemu nako haonekani wakati uwezo anao
kweli dataz anajua saanaIla Dataz alikuwa hatari, sijui yu wapi huyu mdada?
Yupo anafanya kaZi crdb bank tabataIla Dataz alikuwa hatari, sijui yu wapi huyu mdada?
Ahh heri yake ila naona Mwana FA alikuwa benki lakini akaacha.Yupo anafanya kaZi crdb bank tabata
Sister P vepe
Nasubiri majibu pia mkuuHivi yule sister na mwenzake Zay B wako wapi aisee?
kweli dataz anajua saana
rah p yupo USA,kuna clip youtube analalamika aliolewa na jamaa huko kumbe mshikaji muuza ngada akadakwa,rah akabaki anateseka na watoto,akawa mtu wa pombe,akawekwa ndani,kitu alichokifuata huko ambacho ni shule mpaka leo hajakipata.namkubali sasa huyu dada,kuna tract yake moja inaitwa "queen',kwenye hiyo nyimbo alikuwa anawaongelea wanake wa afrika,pia kuna clip kama ya dakika wakati yupo shule wenzake wanampigia ngoma yeye anachana,.kuna nyimbo nyingine aliimba na yule mnyarwanda aliyeshinda tusker project fame ilikuwa poa sana,ndio hivo kashakuwa bonge..nimemis kazi zake huyu dada,tumombee tu kwa anayo yapitia nayo yapite
Sent from my TECNO_P5_PLUS using JamiiForums mobile app
kuna mahali nilimuona juzikati .... hivi hatangazi radio? wengine nadhani walikata tamaa ya muziki.... wakaona haulipi wanajishughulisha na mambo mengineDaaa huyu sister tulishawahi kaa naye sehemu moja miaka ya nyuma, ghafla kapotea tu.
Na kwenye gemu nako haonekani wakati uwezo anao
Dah kwani uliye mqoute na aliyeleta mada tofauti yao ni nini ??Jifunze kujibu hoja... mleta mada hajauliza "nani alishawahi kaa na mmoja wao"..
Watanzania ndo maana mnachukuliwa ajira na wakenya.
Kuna huyu kijana anaitwa NDENDE alivuma na kibao kinaitwa NIMETOKA BOMBA alimshirikisha mkongwe HARD MAD.
Kijana huyu pia anaonekana kwenye movie ya Girlfriend ya akina TID na GK.
Nauliza wazee wenzangu tuliokua vijana enzi hizo,huyu kijana yuko wapi?