Nelly Mtengwa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 371
- 415
Chindo yuko chuga sometimes states. Pia yuko active sana sema kama wewe mbana pua huwez jua kinachoendeleaWasalaam,
Hivi hawa dada zetu wasanii wamepotelea wapi?
Nlikuwa nawakubali sana.
1. Enika
2. Dataz
3. Rah P
4. Paulin Zongo
5. Grace Matata
Na pia ningependa kujua hawa wasanii wa kiume wametokomea wapi?
6. Mike T (Mnyalu)
7. Stan Boy (East Coast Team)
8. Rado
9. Steve RnB
10. Chindo Man
Mbona kimya sana na vipaji wanavyo?
Naomba tujuzane.