Wako wapi hawa wasanii?

Wako wapi hawa wasanii?

Wasalaam,
Hivi hawa dada zetu wasanii wamepotelea wapi?
Nlikuwa nawakubali sana.
1. Enika
2. Dataz
3. Rah P
4. Paulin Zongo
5. Grace Matata

Na pia ningependa kujua hawa wasanii wa kiume wametokomea wapi?

6. Mike T (Mnyalu)
7. Stan Boy (East Coast Team)
8. Rado
9. Steve RnB
10. Chindo Man

Mbona kimya sana na vipaji wanavyo?
Naomba tujuzane.
Chindo yuko chuga sometimes states. Pia yuko active sana sema kama wewe mbana pua huwez jua kinachoendelea
 
Back
Top Bottom