Wako wapi hawa wasanii?

Hata mimi najiuliza huyu ndugu yetu Kaka Man yupo wapi!!!!
 
wengi wamebadilisha gia angani kama MBOWE...
 
rah p yupo USA,kuna clip youtube analalamika aliolewa na jamaa huko kumbe mshikaji muuza ngada akadakwa,rah akabaki anateseka na watoto,akawa mtu wa pombe,akawekwa ndani,kitu alichokifuata huko ambacho ni shule mpaka leo hajakipata.namkubali sasa huyu dada,kuna tract yake moja inaitwa "queen',kwenye hiyo nyimbo alikuwa anawaongelea wanake wa afrika,pia kuna clip kama ya dakika wakati yupo shule wenzake wanampigia ngoma yeye anachana,.kuna nyimbo nyingine aliimba na yule mnyarwanda aliyeshinda tusker project fame ilikuwa poa sana,ndio hivo kashakuwa bonge..nimemis kazi zake huyu dada,tumombee tu kwa anayo yapitia nayo yapite

Sent from my TECNO_P5_PLUS using JamiiForums mobile app
 

Aisee nimeicheki ile na Alpha wa Rwanda,
Daah dogo lake Rah P ndiyo video queen!!!!😱😱😱😱
Hii video nyingine ni sad saaana kwa yaliyomkuta Rah P.
Jamaa kamuharibia dada yetu music career.
Mkuu sikujua hayo
 
Kuna huyu kijana anaitwa NDENDE alivuma na kibao kinaitwa NIMETOKA BOMBA alimshirikisha mkongwe HARD MAD.
Kijana huyu pia anaonekana kwenye movie ya Girlfriend ya akina TID na GK.
Nauliza wazee wenzangu tuliokua vijana enzi hizo,huyu kijana yuko wapi?
 
Daaa huyu sister tulishawahi kaa naye sehemu moja miaka ya nyuma, ghafla kapotea tu.
Na kwenye gemu nako haonekani wakati uwezo anao
kuna mahali nilimuona juzikati .... hivi hatangazi radio? wengine nadhani walikata tamaa ya muziki.... wakaona haulipi wanajishughulisha na mambo mengine
 

Saiv kajikita kweny bongo Movies....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…