Wako wapi hawa wasanii?

Grace matata she is my favorite
 
Dataz nipo nae pande za tabata,Sikh hizi anafanya kazi crdb bank tabata branch
 
Steve RnB yuko mbeya anaendesha Malori
 
Grace matata anaband yake anatumbuiza kwenye mahoteli hasa cover za wasanii wa nje
Hotel gani Mkuu! Kama unaratiba Yake nisaidie plz, nimekua nikimtafute sana! Nimemkosa Mziki wake Kwa Muda mrefu sana! Nijulishe plz!
 
Kwa hiyo muziki hafanyi tena?
Steve anafanya muziki last time nilimuona na Band ya InAfrika ya akina Pompidou na Enriko pale Calabash Mwenge huwa wanazunguka kwenye tour Ulaya na Asia wanapiga kwenye Mahoteli!!huyo jamaa nadhan alikua anajoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…