Wako wapi hawa watu wa zamani?

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Habari za wakati huu wakuu.

Naomba kujua wako wapi hawa watu.

1. Prof Ludigo.
2. Mike T Mnyalu( Au alipata mkwanja na akawa mrefu ikawa balaa?)
3. Walume Ndago.
4. Mabaga Fresh.
5. Ispector Haroon( Huyu niliwahi kusoma humu kua ni mlinzi wa yadi ya magari pande za Temeke ingawa haina uhakika)
6. Fresh P.
7. Bwana Misosi.
8. Jamaa mmoja aliimba peke yanguuu bora niwe peke, marafiki wengi wanafiki.

Nimewakumbuka tu hao jamaa.

Naomba kujua wako wapi na wanafanya nini kwa sasa.

Ahsante.
 
Wako wapi Uswahilini matora watoto wa tanga hawa

Waliimba kibao kinaitwa "KOSA LA MAREHEMU"

Duuuh.... Kibao chao kilikuwa ni noma sana.

Kuna mwingine aliimba wimbo matata sana. Jina nimesahau ila wimbo unaitwa KAZEZE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…