Wako wapi mabinti waliotajwa na FA kwenye wimbo wa “Mabinti”?

Mbona siipati.....ntumie link plz
 
Wale mabinti wa kipozi wameishia wapi.mwenye info zao Kuna kijana anataka kuoa hapa kaniuliza
 
Shose
Tausi Likokola
Ray C
Zay B
Fina
Aunt Ndina
Binti Maumba wa Kino
Mboni Mhita
Aminata Keita
Happy Magese
Mercy Galabawa
Kibibi
Faudhia
Radhia
Halima Bandawe
Seven
Miriam Ikoa
Maisha yanaenda kasi sana
 
My all time favourite song
Especially pale anaposema hata bongo kuna Aaliyah?ananiua mbavu sana hapo
Ila hao mabinti wa enzi hizo sasa hivi ndo tunawaita wahenga,so wengi watakua wametulia wanalea familia,ni wachache sana wanaweza kuwa spotted mitandaoni
 
Sema jamaa hajaanza usintch leo... Hii ngoma ilibidi aimbe kwenye kama unataka demu ya Jay moe, yeye akamzunguka mshikaji akaenda kutoa Mabinti..
Sema nini Kama unataka demu ni kali kuliko hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
FA japo Ni snitch Ila ngoma yake ya mabinti Ni Kali kuliko ya Jay moo


Mule Jay moo kataja majina tupu na mitaa tu ya dar

FA kawachambua kwa majina ,sifa ,na maneno maneno kuntu Sana .

FA alikuwa genius zamani siku hizi simuelewi elewi nadhani zamani alikuwa anatumia ubongo wake barabara!
 
Tupieni picha ya shose basi tuone hiyo midomo mizuri
 
Mbona inajulikana mkuu.
Idea ilikuwa ya Juma Mchopanga alitaka amshirikishe huyo dogo FA na ndio huo wimbo wa kama unataka demu.
Dogo alivyo snitch akamzunguuka msela akaenda kutoka na hiyo mabinti.
Sema 'kama unataka demu' ya Jay Mo imesimama zaidi.
Kumbe...sikujua hii
 
Ebu tuelez kwa ufupi kuhusu huyu mrembo Shoze/Shose,alifany nn hapo bank had akatupw jela na urembo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…