Wako wapi mabinti waliotajwa na FA kwenye wimbo wa “Mabinti”?

Wako wapi mabinti waliotajwa na FA kwenye wimbo wa “Mabinti”?

Wakati huo nikiwa kijana, nilikuwa nakutana nao akina Fina Mango, Lady Jaydee, Seven, Amina Chifupa (r.i.p) wakiwa clouds, Ray C akiwa East Africa Radio.
Nakumbuka DJ wa Bilicanas enzi hizo ni DJ D white (sasa yupo Radio 1),na DJ Washington (RIP)
 
Shose
Tausi Likokola
Ray C
Zay B
Fina
Aunt Ndina
Binti Maumba wa Kino
Mboni Mhita
Aminata Keita
Happy Magese
Mercy Galabawa
Kibibi
Faudhia
Radhia
Halima Bandawe
Seven
Miriam Ikoa

Shose Sinare - Yupo Ngome anakula maharage ya Bure.
Tausi Likokola - Huyu aliolewa na mzungu anaishi nadhani state.
Ray C- Noma Sana
Zay B- Yupo kwao huko Tanangozi.
Fina Mango- Anaingoza Tennis
Aunt Ndina - Sifahamu
Binti Maumba - Maumba nayemjua ni yule wa kubaka watoto ,je huyo alikuwa mwanae?
Happy Magese - Mwanamitindo yupo state
Mercy Galabawa -Yupo State
Kibibi - Simjui
Faudhia -Simjui
Radhia Kipozi - Yupo Japan
Halima Bandawe - Mke wa Mwanamuziki wa OTTU Jazz Band
Seven - Kwani Ali Kiba anasemaje?
Miriam Ikoa - Sijui yupo wapi kwasasa.
 
Natafuta "haina fagio" Mwana FA. Yani sijaweza ipata kwenye platform yoyote online.
Haina ufagio tumeelewana (tumeelewana)

Watoto wanajua japo wanakana (woah)

Haina ufagio, ukielewa mwambie mwenzio

Haina ufagio....na hii ni kwa mtaa mzee

Daah... them golden days
 
Kumbe issue ya shose ilijadiliwa humu 2016
 
Dashboard inasoma 7,800,780 km..
Sema huyu Mercy anaonekana alikuwa wamoto sana!

25421284-DAF2-404F-8328-11018B286BDA.png
 
Tusaidie kuuweka hapa chief

Pia kama unazo nyingine za kwenye album ya 'Toleo Lijalo' tuwekee

Nyimbo kama;-

Ungenambia ft Stara
Aminia ft Alberto & Inspector
Wakati umelala ft Jose Mtambo & Suka
 

Attachments

Shose
Tausi Likokola
Ray C
Zay B
Fina
Aunt Ndina
Binti Maumba wa Kino
Mboni Mhita
Aminata Keita
Happy Magese
Mercy Galabawa
Kibibi
Faudhia
Radhia
Halima Bandawe
Seven
Miriam Ikoa
Ebu chunguza hapo utaona mabinti wote waliotrend zamani walikuwa warembo arafu smart yani hakuna aliyeacha shule darasa la nne, au kidato cha pili, walikuwa marufu kwa uzuri wao na mambo yao kina FINA walikuwa wanatesa na bingo, wengine mamiss wana mitindo nk

Njoo leo sasa ona hizi takataka

Tunda
Amber lulu
Gigy money
Lulu
Paula kajala
Yani wanatrend kwa ujinga ujinga tu

Kinachoniumiza sasa hao wadada aliowaimba mwana fa asilimia 80 wamezeeka na kingine kipindi mabinti waliolewa na vibabu 😂😂 kisa tu waende majuu
 
Shose Sinare - Yupo Ngome anakula maharage ya Bure.
Tausi Likokola - Huyu aliolewa na mzungu anaishi nadhani state.
Ray C- Noma Sana
Zay B- Yupo kwao huko Tanangozi.
Fina Mango- Anaingoza Tennis
Aunt Ndina - Sifahamu
Binti Maumba - Maumba nayemjua ni yule wa kubaka watoto ,je huyo alikuwa mwanae?
Happy Magese - Mwanamitindo yupo state
Mercy Galabawa -Yupo State
Kibibi - Simjui
Faudhia -Simjui
Radhia Kipozi - Yupo Japan
Halima Bandawe - Mke wa Mwanamuziki wa OTTU Jazz Band
Seven - Kwani Ali Kiba anasemaje?
Miriam Ikoa - Sijui yupo wapi kwasasa.
Sahihisho:mke wa mwanamuziki wa MSONDO ni Lucy Bandawe,si Halima
 
Ebu chunguza hapo utaona mabinti wote waliotrend zamani walikuwa warembo arafu smart yani hakuna aliyeacha shule darasa la nne, au kidato cha pili, walikuwa marufu kwa uzuri wao na mambo yao kina FINA walikuwa wanatesa na bingo, wengine mamiss wana mitindo nk

Njoo leo sasa ona hizi takataka

Tunda
Amber lulu
Gigy money
Lulu
Paula kajala
Yani wanatrend kwa ujinga ujinga tu

Kinachoniumiza sasa hao wadada aliowaimba mwana fa asilimia 80 wamezeeka na kingine kipindi mabinti waliolewa na vibabu [emoji23][emoji23] kisa tu waende majuu
Hatari sana
 
Yaah..atakuwa alikuwa moto..na wengi inaonyesha shule ilikuwepo,sio hawa kina Amber lulu wa kizazi hiki.
Yeah wengi walivukaga 6s wakapiga na vyuo wengine walienda kutobolea mtoni!
 
Back
Top Bottom