Prince Kesh Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 652
- 1,573
Ndio Malik Bandawe au Chiwa man wa TNG Squard..mtoto wa Tanga Line.Halima namfaham sikuwahi kujua Kama alitajwa kwenye hii nyimbo, mdogo ake wa kiume kazaa na Rose ndauka mtoto wa kwanza. Alikuwa anafanyakazi Vodacom.
Shose
Tausi Likokola
Ray C
Zay B
Fina
Aunt Ndina
Binti Maumba wa Kino
Mboni Mhita
Aminata Keita
Happy Magese
Mercy Galabawa
Kibibi
Faudhia
Radhia
Halima Bandawe
Seven
Miriam Ikoa
Beat ilikuwa toka kwa Bonlav, Mawingu Studio.Alafu beat kasimamia Baba yake mzazi Paula . kipindi hicho studio zinahesabika
Haina ufagio tumeelewana (tumeelewana)Natafuta "haina fagio" Mwana FA. Yani sijaweza ipata kwenye platform yoyote online.
Tusaidie kuuweka hapa chief
Sema huyu Mercy anaonekana alikuwa wamoto sana!Dashboard inasoma 7,800,780 km..
Tusaidie kuuweka hapa chief
Pia kama unazo nyingine za kwenye album ya 'Toleo Lijalo' tuwekee
Nyimbo kama;-
Ungenambia ft Stara
Aminia ft Alberto & Inspector
Wakati umelala ft Jose Mtambo & Suka
Ebu chunguza hapo utaona mabinti wote waliotrend zamani walikuwa warembo arafu smart yani hakuna aliyeacha shule darasa la nne, au kidato cha pili, walikuwa marufu kwa uzuri wao na mambo yao kina FINA walikuwa wanatesa na bingo, wengine mamiss wana mitindo nkShose
Tausi Likokola
Ray C
Zay B
Fina
Aunt Ndina
Binti Maumba wa Kino
Mboni Mhita
Aminata Keita
Happy Magese
Mercy Galabawa
Kibibi
Faudhia
Radhia
Halima Bandawe
Seven
Miriam Ikoa
Yaah..atakuwa alikuwa moto..na wengi inaonyesha shule ilikuwepo,sio hawa kina Amber lulu wa kizazi hiki.
Sahihisho:mke wa mwanamuziki wa MSONDO ni Lucy Bandawe,si HalimaShose Sinare - Yupo Ngome anakula maharage ya Bure.
Tausi Likokola - Huyu aliolewa na mzungu anaishi nadhani state.
Ray C- Noma Sana
Zay B- Yupo kwao huko Tanangozi.
Fina Mango- Anaingoza Tennis
Aunt Ndina - Sifahamu
Binti Maumba - Maumba nayemjua ni yule wa kubaka watoto ,je huyo alikuwa mwanae?
Happy Magese - Mwanamitindo yupo state
Mercy Galabawa -Yupo State
Kibibi - Simjui
Faudhia -Simjui
Radhia Kipozi - Yupo Japan
Halima Bandawe - Mke wa Mwanamuziki wa OTTU Jazz Band
Seven - Kwani Ali Kiba anasemaje?
Miriam Ikoa - Sijui yupo wapi kwasasa.
Hatari sanaEbu chunguza hapo utaona mabinti wote waliotrend zamani walikuwa warembo arafu smart yani hakuna aliyeacha shule darasa la nne, au kidato cha pili, walikuwa marufu kwa uzuri wao na mambo yao kina FINA walikuwa wanatesa na bingo, wengine mamiss wana mitindo nk
Njoo leo sasa ona hizi takataka
Tunda
Amber lulu
Gigy money
Lulu
Paula kajala
Yani wanatrend kwa ujinga ujinga tu
Kinachoniumiza sasa hao wadada aliowaimba mwana fa asilimia 80 wamezeeka na kingine kipindi mabinti waliolewa na vibabu [emoji23][emoji23] kisa tu waende majuu
Yeah wengi walivukaga 6s wakapiga na vyuo wengine walienda kutobolea mtoni!Yaah..atakuwa alikuwa moto..na wengi inaonyesha shule ilikuwepo,sio hawa kina Amber lulu wa kizazi hiki.
Yaah..atakuwa alikuwa moto..na wengi inaonyesha shule ilikuwepo,sio hawa kina Amber lulu wa kizazi hiki.
Seven mosha ndie huyu kumbe
Zamani title kwanza ndio zikawa zinajenga jina. Either alishinda Miss Tanzania, Mtangazaji etcSeven mosha ndie huyu kumbe
Hahahahaha sikuhizi popularity imekuwa so cheap kiasi kwamba leo naweza amka nikafanya stunt tu nikawa maarufu allover Tanzania!Zamani title kwanza ndio zikawa zinajenga jina. Either alishinda Miss Tanzania, Mtangazaji etc
Sasa hivi demu akianza drama tu za Instagram na online TV basi.