chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Makonda, almaarufu Bashite, aliongoza Mkoa wa Dar es salaam kwa mkono wa chuma uliojaa damu, ni yeye na sabaya tu waliotembea na mabodigadi wenye silaha za moto, Makonda alithubutu kwenda clouds fm akiwa na askari wanaodaiwa kuwa wa jumba jeupe(makirikiri).
Sasa anaonekana mpweke, wale aliowa harass Sasa wameshika mpini, Jiji aliloliona la kwake, na wakazi wake kama wapangaji, amelikimbia kama Ghadafi alivyoikimbia Tripoli, au Saddam alivyoikimbia Bhaghdad.
Wale walinzi mahiri, makirikiri, hawako nae tena, Polisi na usalama hawako naye tena, ni mpweke huko maporini akipanda milima na kukatiza njia za waenda kwa miguu, pengine anapishana na watu aliowadhuru ila yeye ameshawasahau!
Ni Makonda aliyewaonya viongozi wakuu wa dola kwamba ana nguvu kuliko wanavyodhani!
Wakati ukuta
Cc: Lemutuz