Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Mbona walinzi bado anao wengi tu... Na huko anakoenda kwenye hiyo picha ana miadi na wengine!
Pole kwa kujipuyangisha nankuhangaika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona walinzi bado anao wengi tu... Na huko anakoenda kwenye hiyo picha ana miadi na wengine!
Hawana uwezo huoAnao wengine wenye matunguli
Le Field Marshall Le Commandment ila Le Mutuz ni chawa kiwango cha PhDSina mengi ila nauliza kwanini nakala ya uzi wako umempelekea Le Mutuz ?
Usilorijua ni kama usiku wa Giza.bashite mjanja kweli kweli, anacho tafuta apo ni ‘huruma’ ya jamii ili asiburuzwe mahakani kwa yale alio wafanyia ‘wabaya’ wake, yaani kwa sasa anapost ‘strategic pictures’ ili kupata huruma na msamaha kutoka ktk jamii na watu aliowafanyia uovu wa kutisha……….na tayari wadanganyika wengi tuu wameisha ingia mkenge wa kumhurumia
Watanzania ni mabingwa wa kueneza habari mbaya za chuki.Na hilo aliwahi kulieleza kwa kirefu sana, kwanini sijui watu huwa hawapendi kuelewa wakiwa na chuki zao binafsi!
Amzabue makofi Waziri mkuu mstaafu halafu apandiahwe na cheo!
Ni kweliWengine wanasema eti anasaka waganga
Hatari snNaona huko anakoenda ndiko aliahidiwa kuwa baba yake mlezi bado yupo yupo sana
Anaenda dai hela zake
Mbona hatoi misaada kama zamani?Sasa anaonekana mpweke, wale aliowa harass Sasa wameshika mpini, Jiji aliloliona la kwake, na wakazi wake kama wapangaji, amelikimbia kama Ghadafi alivyoikimbia Tripoli, au Saddam alivyoikimbia Bhaghdad
Na amefanikiwa kwa % kubwa snbashite mjanja kweli kweli, anacho tafuta apo ni ‘huruma’ ya jamii ili asiburuzwe mahakani kwa yale alio wafanyia ‘wabaya’ wake, yaani kwa sasa anapost ‘strategic pictures’ ili kupata huruma na msamaha kutoka ktk jamii na watu aliowafanyia uovu wa kutisha……….na tayari wadanganyika wengi tuu wameisha ingia mkenge wa kumhurumia