Wako wapi mabodigadi na wapambe wa Makonda? Sasa anatembea peke yake vijijini. Je, ni laana ya Warioba? Vijana tuna la kujifunza

bashite mjanja kweli kweli, anacho tafuta apo ni ‘huruma’ ya jamii ili asiburuzwe mahakani kwa yale alio wafanyia ‘wabaya’ wake, yaani kwa sasa anapost ‘strategic pictures’ ili kupata huruma na msamaha kutoka ktk jamii na watu aliowafanyia uovu wa kutisha……….na tayari wadanganyika wengi tuu wameisha ingia mkenge wa kumhurumia
Usilorijua ni kama usiku wa Giza.
Furahia maisha usawa wa kamba yako.
Ukifuatilia kamba za wengine utaishia gizani.
 
bashite mjanja kweli kweli, anacho tafuta apo ni ‘huruma’ ya jamii ili asiburuzwe mahakani kwa yale alio wafanyia ‘wabaya’ wake, yaani kwa sasa anapost ‘strategic pictures’ ili kupata huruma na msamaha kutoka ktk jamii na watu aliowafanyia uovu wa kutisha……….na tayari wadanganyika wengi tuu wameisha ingia mkenge wa kumhurumia
Na amefanikiwa kwa % kubwa sn
 
Back
Top Bottom