Wako wapi mabodigadi na wapambe wa Makonda? Sasa anatembea peke yake vijijini. Je, ni laana ya Warioba? Vijana tuna la kujifunza

Ukiwaona Bavicha wanavyotiririka kwenye huu uzi utafikiir wanafanana kwa maisha na Makonda,

Kumbe wanakula vumbi tu huku mwenzao akiponda raha ya maisha
Nashangaa maneno mengi kwake
Wakt yy anadunda tu mtaani ameacha kazi mda lakn maisha yanaenda kama kawaida
Kuna wengine wakiwa nje ya kaz mwezi tu chali
 
Mimi namsubiri aniambie kwa nini alikuwa anamtuma mkuu wa wilaya ya Kigamboni kudhulumu wawekezaji na kuwabambikia kesi za kuuza madawa ya kulevya kama anataka afanikiwe anitafute nimueleze kwa nini atahangaika sana hapa duniani na matapeli aliokuwa anashirikiana nao wakijifanya wametumwa na raisi kupora mali za watu na kusambaza uongo
 
Wanapesa za kutupa Acha waliwe na wajanja.MGAnga ni mfanyabiashara kwake pesa tu

Kabisa
Ila wakati mwingine mganga anamkomoa mteja na kumuambia uwa mtu wa karibu
Ndio maana unaona wengine wanakuwa na matamshi ya ukakasi, kejeli, utekaji na kuuwa, dhulma na roho za kikatili

Ndio hawa wanatuongoza wameishakuwa Misukule huku mnawaita Viongozi. So sad [emoji24]
 
Tena upareni huko nadhani, may be Mshana Jr aangalie picha vizuri anaweza kupajua, mshana alishatoa Uzi wa waganga wakali wa upareni, nahisi Bashite atakuwa anatembea na nyuzi za mshana
Hapana sio upareni hapo,ni Usambaani Makanya ndani ndani huko kuna wachawi balaa "Kwamshitu" huko hata ukitema mate kwa bahat mbaya yakadondokea kwenye jani la mahindi ya watu umekwisha.
 
Akwambie Kama nani vile!
 
Kwanini awe na laana ya Warioba?. Hapo hakumpiga Warioba alikuwa anamvuta watoke ukumbini ili mzee asije kupigwa na wahuni walioingia ukumbini kuvuruga mkutano.
Na hilo aliwahi kulieleza kwa kirefu sana, kwanini sijui watu huwa hawapendi kuelewa wakiwa na chuki zao binafsi!

Amzabue makofi Waziri mkuu mstaafu halafu apandiahwe na cheo!
 
Makonda hawezi fanywa chochote.......
ww andika ngonjera zako humu ukimaliza kakojoe ulale.......
muulize kube na kesi yake ya kubumba ameishia wapi!
 
Huyu dwanzi ilifikia mahali akajisahau akasema mtu yoyote wa kutaka kuja Dar aoge kwanza
 
Makonda hawezi fanywa chochote.......
ww andika ngonjera zako humu ukimaliza kakojoe ulale.......
muulize kube na kesi yake ya kubumba ameishia wapi!ji

Makonda hawezi fanywa chochote.......
ww andika ngonjera zako humu ukimaliza kakojoe ulale.......
muulize kube na kesi yake ya kubumba ameishia wapi!
Jinai haina ukomo
 
Bashite ni limbukeni wa maisha...kazaliwa maisha duni alivyopata mamlaka akajisahau.. sasa hivi anaishi kama digidigi msituni, hajui kama siku itaisha salama.
 

Aksante sana kwa kapicha ka kusindikizia uzi. Tulikubaliana mwaka huu mambo yaende hivi.
 
Namuona akiishia jela, within 2 yrs from now. My prediction haijawahi kuwa wrong.
 
Hapana sio upareni hapo,ni Usambaani Makanya ndani ndani huko kuna wachawi balaa "Kwamshitu" huko hata ukitema mate kwa bahat mbaya hakadondokea kwenye jani la mahindi ya watu umemwisha.
Eeeehj
 
Pamoja na kutokuwa madarakani bado Makonda anawatesa tu. Kwa taarifa yenu, Makonda haitaji ulinzi. Wana Dar es Salaam wanamlinda kwa mema aliyowafanyia akiwa madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…