Wako wapi mapedeshee walioimbwa na kugawa pesa kwa wasanii wa bendi?

Wako wapi mapedeshee walioimbwa na kugawa pesa kwa wasanii wa bendi?

Wako wapi watu hawa?

Naomba kujuwa nikitu gani kimewasibu mapedeshee waliojipatia umaruufu kwa kutajwa kwenye nyimbo za dance ambazo zilikuwa zikiimbwa na wasanii maarufu kama Christian Bella.

Atumuoni tena;
[HASHTAG]#Pedeshee[/HASHTAG] Ndama
#Pa paa Misifa
[HASHTAG]#Katunzi[/HASHTAG]
[HASHTAG]#hostadhi[/HASHTAG] Juma namusoma
pa paa Mabura.

Aisee kweli nasikia mapedeshee wengine wamewekeza kwenye Tatu mzuka na Biko.
 
... Mahakama za mafisadi hewa nini mlianzisha. Mbona huyo mwanaume mnayemtaja sana hamumpeleki kwenye hizo mahakama.

hakuna hata mmoja waliyempeleka kwenye hiyo mahakama feki. In fact hakuna mtu yeyote aliyewahi kufungwa kwa ufisadi kwenye mahakama yeyote ile toka Magu aingie.
 
Kwanza music wa dance hapa nchini upo ahera, utawasikilia wapi mkuu?

Kwa sasa watakuwa wamejiunga na kundi la hawavumi lakini wamo nyumbani kwao
 
Wengi wao ni wauza sembe /matapeli wa madini na fedha za kigeni
 
Back
Top Bottom