Wako wapi wale wanawake ambao walikuwa tayari kufa kwa ajili ya watoto wao?

Mkuu kama Mungu amekujaalia Fanya jambo kwa huyoo malaika na utabarikiwa
Hawana simu nimewapatia namba yangu maana walikuwa wanaelekea morogoro. Nitatafuta muda niende nikajue mazingira anayoishi. Sijajaliwa kikubwa ila saa ingine ukaribu wangu unaweza ukapunguza tatizo kwa kiasi fulani
 
Yani wewe ulikuwa na mtoto mchanga kesho hauko na mtoto ndugu wasijue? Kuna watu maisha yao ni marahisi sana
Dada kuna watu wanatoka matombo hukoo na hawarudi for years, ngoja nikupe kisa kinihusucho.

Kuna sister mmoja wa kijijini kwetu ndanindani hukooo mkoani alitoroka kwa mumewe akimuachia mtoto wa kiume wa miaka5. Akaja Dar na hakututafuta akajiingiza kwenye madawa ya kulevya maeneo ya Buguruni kijijini walitafuta kwa kushirikiana na ndugu wa Dar bila mafanikio, alikuja kupatikana 5yrs later akiwa na mtoto wa miaka4.

Hapo unaweza kumlaumu mumewe au wazazi wake?
 
Hawana simu nimewapatia namba yangu maana walikuwa wanaelekea morogoro. Nitatafuta muda niende nikajue mazingira anayoishi.
Sijajaliwa kikubwa ila saa ingine ukaribu wangu unaweza ukapunguza tatizo kwa kiasi fulani
Good girl, keep up the good work👏🏻👏🏻👏🏻🤝🏻🤝🏻🤝🏻
 
Tupo,mpaka tone la damu.Nikiwa job wananitesa sana kichwani...nawawaza mno.Ee Mwenyez Mungu niongezee afya nilee wanangu.
Hongera sana, lakini kuna ambao hata mtoto wa miezi 7 tu wanatelwkeza ili wakainjoi migegedo mipya!
 
Nimesoma mpaka nikasisimka...

Tatizo wanawake wa sasa wengi wamejaa tamaa, wanapenda sana pesa za bure...

Wakiona mwanaume hana pesa wanakimbia hata kama ni ndoa na watoto wanaacha...
 
Hawana simu nimewapatia namba yangu maana walikuwa wanaelekea morogoro. Nitatafuta muda niende nikajue mazingira anayoishi.
Sijajaliwa kikubwa ila saa ingine ukaribu wangu unaweza ukapunguza tatizo kwa kiasi fulani
Ime nigusa kweli fanya kitu kwa huyo mtoto utapata mibaraka
 
Nimesoma mpaka nikasisimka...

Tatizo wanawake wa sasa wengi wamejaa tamaa, wanapenda sana pesa za bure...

Wakiona mwanaume hana pesa wanakimbia hata kama ni ndoa na watoto wanaacha...
Kukimbia hukatazwi ila kimbia na wanao
 
Dada kuna watu wanatoka matombo hukoo na hawarudi for years, ngoja nikupe kisa kinihusucho.

Kuna sister mmoja wa kijijini kwetu ndanindani hukooo mkoani alitoroka kwa mumewe akimuachia mtoto wa kiume wa miaka5. Akaja Dar na hakututafuta akajiingiza kwenye madawa ya kulevya maeneo ya Buguruni kijijini walitafuta kwa kushirikiana na ndugu wa Dar bila mafanikio, alikuja kupatikana 5yrs later akiwa na mtoto wa miaka4.

Hapo unaweza kumlaumu mumewe au wazazi wake?
Kweli hapo lawama ni mtu mwenyewe..
Lakini zipo case ambazo wazazi ndo wako mbele kukabidhi watoto kwa wanaume...
 
Ime nigusa kweli fanya kitu kwa huyo mtoto utapata mibaraka
Ujue baba mtu anamuuliza mwanawe eti huyu si anafaa kuwa mama yako mtoto anaitikia ndio baba...wanaume wahuni sana. Yeye ashaona fursa wakati me namhurumia yule kiumbe
 
Nikajua mtoto sijui katupwa mtaroni au katelekezwa kwa bibi yake kumbe yupo na baba yake mzazi!!
Ni baba yake, acha amlee maana ni wajibu wake pia.

Anyway ni story ya upande mmoja hivyo lazima ngoma aivutie kwake.
Kwani huyo baba ameshaoa? Kama bado basi bado haujachelewa kuwa mama yake
 
Kweli hapo lawama ni mtu mwenyewe..
Lakini zipo case ambazo wazazi ndo wako mbele kukabidhi watoto kwa wanaume...
Kuna familia zimejipindia dada, ungekaa, buguruni, mwananyamala, kwa mtogole, manzese, gongolamboto hasa uswahilini?

Watu hawajali chochote kijana wa miaka16 kamtia mimba mtoto wa jirani, nobody cares, kutembea na mume wa jirani, utajijua mwenyewe.
Yaani hata mtoto akiuawa kwa wizi wanazika na maisha yanaendelea kama hakuna kilichotokea
 
Duhh jaman jaman
 
Nikajua mtoto sijui katupwa mtaroni au katelekezwa kwa bibi yake kumbe yupo na baba yake mzazi!!
Ni baba yake, acha amlee maana ni wajibu wake pia.

Anyway ni story ya upande mmoja hivyo lazima ngoma aivutie kwake.
Kwani huyo baba ameshaoa? Kama bado basi bado haujachelewa kuwa mama yake

Nikajua mtoto sijui katupwa mtaroni au katelekezwa kwa bibi yake kumbe yupo na baba yake mzazi!!
Ni baba yake, acha amlee maana ni wajibu wake pia.

Anyway ni story ya upande mmoja hivyo lazima ngoma aivutie kwake.
Kwani huyo baba ameshaoa? Kama bado basi bado haujachelewa kuwa mama yake
Kwa hiyo wewe kutelekeza ni hadi kiwe kichanga? Na sheria ya mama kubaki na mtoto hadi miaka 7 unajua ilizingatia nini??? Wanawake muache unyama... wanaume ndo tulizoea hawana muda na watoto lakini hii trend inayokuja sasa hivi ya wanawake kujitoa ufahamu inaogopesha.
 
Kwa kweli nikisikia mama ametelekeza mtoto nashangaa sana. Najiuliza maswali mengi ila naishia kusema nae ni binadamu labda anaumwa akili bila kujitambua.
 
Kwa hiyo wewe kutelekeza ni hadi kiwe kichanga? Na sheria ya mama kubaki na mtoto hadi miaka 7 unajua ilizingatia nini??? Wanawake muache unyama... wanaume ndo tulizoea hawana muda na watoto lakini hii trend inayokuja sasa hivi ya wanawake kujitoa ufahamu inaogopesha.
Kumbe mlizoea!! Usiishi kwa mazoea, huyo ni baba yake akimlea kuna tatizo gani?

Kwahiyo umeshazoea kuwa mtoto akilelewa na mama ni sawa, ila akilelewa na baba yake ni ukatili!![emoji848][emoji848][emoji848]
 
Wakuu habarini za majukumu?

Ninatumaini jitihada za kujipatia mkate wa kila siku zinaendelea salama... Siku ya leo nimeitumia kwa asilimia kubwa hapa
Mim wa kwangu ntabebana nae hadi mwisho wangu....... Me nasema mwanamke ambae hana mapenzi na mtoto ake basi huyo ni kichaaa kweli kweli tena chizi karogwa tena
 
Back
Top Bottom