Hawana simu nimewapatia namba yangu maana walikuwa wanaelekea morogoro. Nitatafuta muda niende nikajue mazingira anayoishi. Sijajaliwa kikubwa ila saa ingine ukaribu wangu unaweza ukapunguza tatizo kwa kiasi fulaniMkuu kama Mungu amekujaalia Fanya jambo kwa huyoo malaika na utabarikiwa
Dada kuna watu wanatoka matombo hukoo na hawarudi for years, ngoja nikupe kisa kinihusucho.Yani wewe ulikuwa na mtoto mchanga kesho hauko na mtoto ndugu wasijue? Kuna watu maisha yao ni marahisi sana
Good girl, keep up the good work👏🏻👏🏻👏🏻🤝🏻🤝🏻🤝🏻Hawana simu nimewapatia namba yangu maana walikuwa wanaelekea morogoro. Nitatafuta muda niende nikajue mazingira anayoishi.
Sijajaliwa kikubwa ila saa ingine ukaribu wangu unaweza ukapunguza tatizo kwa kiasi fulani
Hongera sana, lakini kuna ambao hata mtoto wa miezi 7 tu wanatelwkeza ili wakainjoi migegedo mipya!Tupo,mpaka tone la damu.Nikiwa job wananitesa sana kichwani...nawawaza mno.Ee Mwenyez Mungu niongezee afya nilee wanangu.
Ime nigusa kweli fanya kitu kwa huyo mtoto utapata mibarakaHawana simu nimewapatia namba yangu maana walikuwa wanaelekea morogoro. Nitatafuta muda niende nikajue mazingira anayoishi.
Sijajaliwa kikubwa ila saa ingine ukaribu wangu unaweza ukapunguza tatizo kwa kiasi fulani
Kweli hapo lawama ni mtu mwenyewe..Dada kuna watu wanatoka matombo hukoo na hawarudi for years, ngoja nikupe kisa kinihusucho.
Kuna sister mmoja wa kijijini kwetu ndanindani hukooo mkoani alitoroka kwa mumewe akimuachia mtoto wa kiume wa miaka5. Akaja Dar na hakututafuta akajiingiza kwenye madawa ya kulevya maeneo ya Buguruni kijijini walitafuta kwa kushirikiana na ndugu wa Dar bila mafanikio, alikuja kupatikana 5yrs later akiwa na mtoto wa miaka4.
Hapo unaweza kumlaumu mumewe au wazazi wake?
Kuna familia zimejipindia dada, ungekaa, buguruni, mwananyamala, kwa mtogole, manzese, gongolamboto hasa uswahilini?Kweli hapo lawama ni mtu mwenyewe..
Lakini zipo case ambazo wazazi ndo wako mbele kukabidhi watoto kwa wanaume...
Duhh jaman jamanKuna familia zimejipindia dada, ungekaa, buguruni, mwananyamala, kwa mtogole, manzese, gongolamboto hasa uswahilini?
Watu hawajali chochote kijana wa miaka16 kamtia mimba mtoto wa jirani, nobody cares, kutembea na mume wa jirani, utajijua mwenyewe.
Yaani hata mtoto akiuawa kwa wizi wanazika na maisha yanaendelea kama hakuna kilichotokea
Nikajua mtoto sijui katupwa mtaroni au katelekezwa kwa bibi yake kumbe yupo na baba yake mzazi!!
Ni baba yake, acha amlee maana ni wajibu wake pia.
Anyway ni story ya upande mmoja hivyo lazima ngoma aivutie kwake.
Kwani huyo baba ameshaoa? Kama bado basi bado haujachelewa kuwa mama yake
Kwa hiyo wewe kutelekeza ni hadi kiwe kichanga? Na sheria ya mama kubaki na mtoto hadi miaka 7 unajua ilizingatia nini??? Wanawake muache unyama... wanaume ndo tulizoea hawana muda na watoto lakini hii trend inayokuja sasa hivi ya wanawake kujitoa ufahamu inaogopesha.Nikajua mtoto sijui katupwa mtaroni au katelekezwa kwa bibi yake kumbe yupo na baba yake mzazi!!
Ni baba yake, acha amlee maana ni wajibu wake pia.
Anyway ni story ya upande mmoja hivyo lazima ngoma aivutie kwake.
Kwani huyo baba ameshaoa? Kama bado basi bado haujachelewa kuwa mama yake
Karibu uswahiliniDuhh jaman jaman
Kumbe mlizoea!! Usiishi kwa mazoea, huyo ni baba yake akimlea kuna tatizo gani?Kwa hiyo wewe kutelekeza ni hadi kiwe kichanga? Na sheria ya mama kubaki na mtoto hadi miaka 7 unajua ilizingatia nini??? Wanawake muache unyama... wanaume ndo tulizoea hawana muda na watoto lakini hii trend inayokuja sasa hivi ya wanawake kujitoa ufahamu inaogopesha.
Hapana,hapana....watoto mboni yanguHongera sana, lakini kuna ambao hata mtoto wa miezi 7 tu wanatelwkeza ili wakainjoi migegedo mipya!
That's itYani hata upitie yapi usije ukaacha wanao popote eti unamkomoa mwanaume. Chochote utakachokula na wanao wale hichohicho
Mim wa kwangu ntabebana nae hadi mwisho wangu....... Me nasema mwanamke ambae hana mapenzi na mtoto ake basi huyo ni kichaaa kweli kweli tena chizi karogwa tenaWakuu habarini za majukumu?
Ninatumaini jitihada za kujipatia mkate wa kila siku zinaendelea salama... Siku ya leo nimeitumia kwa asilimia kubwa hapa