Wako Wapi Wanasiasa hawa?

Wako Wapi Wanasiasa hawa?

Halaiser

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
4,230
Reaction score
6,653
Kwa muda mrefu sasa sijawaona wala kuwasikia Wanasiasa wafuatao:
1. Harrison Mwakyembe
2. Mark Mwandosya
3. Job Ndugai.
Yawezekana wameshakata tamaa kwenye harakati zao za kisiasa au wamepigwa pini wasijihusishe na siasa?? Asanteni.
 
Kama ndugai niliwahi kusoma wapo chini ya uangalizi Kwa 24hrs,ndio maana alilopoka kuwa Mzee malechela alimwambia ajiuzulu uspika akamsikia!Ina maana asinge msikia Leo tungeandika RIP ndugai kama tunavoandika RIP membe coz hakusikia ushauri was Pengo!
 
Duu! Kumbe! Kweli nimeamini hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. Pamoja na ubabe wake kakubali kuachiwa jiko maharage yasiungue?
 
Sio wao tu hata huko ulipo!!ukitaka kujua hilo chukua form ya uenyekiti was chama bila ridhaa ya. Jamaa!!
Mbowe wala hang'ang'anii Kiti kama unayotaka kuwaaminisha watu. Wanachama wanaoitakia mema Chadema ndio wanaomng'ang'ania Mh Mbowe aendelee kuongoza Chama. Hebu fikiria kama Chama kingekuwa chini ya mmoja wa wale covid-19 leo tungekuwa na Chama hiki? Muda muafaka ukifika atakabidhi kijiti kwa wengine. Hata wewe karibu.
 
Kwa muda mrefu sasa sijawaona wala kuwasikia Wanasiasa wafuatao:
1. Harrison Mwakyembe
2. Mark Mwandosya
3. Job Ndugai.
Yawezekana wameshakata tamaa kwenye harakati zao za kisiasa au wamepigwa pini wasijihusishe na siasa?? Asanteni.
Mwandosya mbona yupo sana.

Na leo katweet kuhusu Eid

Mwenye degree 4 na Jobo ndio hawasikiki kabisa
Screenshot_20240410-143118.jpg
 
Back
Top Bottom