Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani huwa wanamalizana ?Kama ndugai niliwahi kusoma wapo chini ya uangalizi Kwa 24hrs,ndio maana alilopoka kuwa Mzee malechela alimwambia ajiuzulu uspika akamsikia!Ina maana asinge msikia Leo tungeandika RIP ndugai kama tunavoandika RIP membe coz hakusikia ushauri was Pengo!
Duu! Kumbe! Kweli nimeamini hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. Pamoja na ubabe wake kakubali kuachiwa jiko maharage yasiungue?Kama ndugai niliwahi kusoma wapo chini ya uangalizi Kwa 24hrs,ndio maana alilopoka kuwa Mzee malechela alimwambia ajiuzulu uspika akamsikia!Ina maana asinge msikia Leo tungeandika RIP ndugai kama tunavoandika RIP membe coz hakusikia ushauri was Pengo!
Sio wao tu hata huko ulipo!!ukitaka kujua hilo chukua form ya uenyekiti was chama bila ridhaa ya. Jamaa!!kwani huwa wanamalizana ?
Mbona Mwambe na Sumaye wanaishi hadi leo , au walifufuka ? Hapa umeandika uongoSio wao tu hata huko ulipo!!ukitaka kujua hilo chukua form ya uenyekiti was chama bila ridhaa ya. Jamaa!!
Hawakua tishio kama zito na wangwe!!RIP was pili!Mbona Mwambe na Sumaye wanaishi hadi leo , au walifufuka ? Hapa umeandika uongo
Aliyesababisha ajali ya Wangwe alifungwa jela , lakini alitolewa kwa msamaha wa Mkapa , jiongeze , hata kama ulikuwa hujazaliwa waulize wakubwa zako kabla ya kuzusha uongoHawakua tishio kama zito na wangwe!!RIP was pili!
Mbowe wala hang'ang'anii Kiti kama unayotaka kuwaaminisha watu. Wanachama wanaoitakia mema Chadema ndio wanaomng'ang'ania Mh Mbowe aendelee kuongoza Chama. Hebu fikiria kama Chama kingekuwa chini ya mmoja wa wale covid-19 leo tungekuwa na Chama hiki? Muda muafaka ukifika atakabidhi kijiti kwa wengine. Hata wewe karibu.Sio wao tu hata huko ulipo!!ukitaka kujua hilo chukua form ya uenyekiti was chama bila ridhaa ya. Jamaa!!
Mwandosya mbona yupo sana.Kwa muda mrefu sasa sijawaona wala kuwasikia Wanasiasa wafuatao:
1. Harrison Mwakyembe
2. Mark Mwandosya
3. Job Ndugai.
Yawezekana wameshakata tamaa kwenye harakati zao za kisiasa au wamepigwa pini wasijihusishe na siasa?? Asanteni.