secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Shallom!
Wakuu naomba mnijulishe walipo watangazaji hawa wenye sauti nzito zilizojaa mamlaka na kumfanya nyoka akimbilie pangoni kujificha kwa hofu.
Ifuatayo ni orodha ya baadhi ya hao watangazaji wenye sauti nzito niliokuwa nawasikia lakini sasa siwasikii.
Chris Lugoe.
Ian Dialo.
Bobby Mingi.
Gozbert Njenge.
Deokaji makomba.
Shaban Kisu, n.k
Kwenye orodha sijamweka Pascal Mayalla maana sauti yake inawatoa nyoka pangoni.
Cc Monetary doctor Mbaga Jr Al-mukheef realMamy DR Mambo Jambo Tajiri Sina BAYA holoholo.