min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Kiufupi hapo umesisitiza watu wavute bangi bwashee š¤Anza mazoezi ya kuongeza sauti iwe nzito. Kwa ushauri zaidi usisite kuwasiliana na The Mongolian Savage
Kiufupi hapo umesisitiza watu wavute bangi bwashee š¤Anza mazoezi ya kuongeza sauti iwe nzito. Kwa ushauri zaidi usisite kuwasiliana na The Mongolian Savage
Hahaha š, wanahudumiwa bia na mrembo Amina Chifupa.Efraimu kibonde na gadna hatari sana ,wapo zao mbinguni wanapiga bia šŗ
Huyu jamaa alishasepa Drive Show?Ian Dialo.
Hahaha š. Uwongo huo.Mwenyewe Nina bezi ya kichaga hapa, oyaaah Chali wangu we nyoookaa
Ile miamba ilikua inashawishi ukanywe bia , ukisiliza ile sauti ya bia ikimwagika kwenye glass lazima umeze funda la matešHahaha š, wanahudumiwa bia na mrembo Amina Chifupa.
Sawa kama hutaki,Hahaha š. Uwongo huo.
Mayai mabichi ndo jawabu.Unafanya vipi sauti iwe nzito tofaut na kukaza Koo, š¤
Hahaha, hakika.Ile miamba ilikua inashawishi ukanywe bia , ukisiliza ile sauti ya bia ikimwagika kwenye glass lazima umeze funda la mateš
Mno na sauti zao zilipangilika ,vilivyo mtu tatu ndani ya traki moja.Hahaha, hakika.
Serious kwa muda gani š¤Mayai mabichi ndo jawabu.
Ameshasepa. Baada ya Rwenyagira kutimkia wasafi Ian alikosa thamani kabisa pale ndingani nadhani ndo maana alisepa.Huyu jamaa alishasepa Drive Show?
Nitumie voice note.Sawa kama hutaki,
Acha kabisa Ile combination.Mno na sauti zao zilipangilika ,vilivyo mtu tatu ndani ya traki moja.
Siwezi tumia mwanaume voice note unataka nn kwangu, sauti yangu ikufanyie nn ? Wewe ndege wa kiotaniNitumie voice note.
Mpaka utakapoona sauti imekuwa nzito hata kama ni baada ya miaka kumi.Serious kwa muda gani š¤
Hahaha šSiwezi tumia mwanaume voice note unataka nn kwangu, sauti yangu ikufanyie nn ? Wewe ndege wa kiotani
si yupo ikulu kwa sasa kama naibu wa mawasiliano au?Wakati wao ulipita ila Shaban Kisu Bado yupo TBC na Jaribu kufuatilia shughuli za kitaifa utamuona akiziendesha kama MC hasa za Mama
Kikubwa niko na sauti ya kiume, it's enoughMpaka utakapoona sauti imekuwa nzito hata kama ni baada ya miaka kumi.