Wako wapi watangazaji hawa wenye sauti nzito zilizopendwa na watoto wa kike

J
Shallom!

Wakuu naomba mnijulishe walipo watangazaji hawa wenye sauti nzito zilizojaa mamlaka na kumfanya nyoka akimbilie pangoni kujificha kwa hofu.

Ifuatayo ni orodha ya baadhi ya hao watangazaji wenye sauti nzito niliokuwa nawasikia lakini sasa siwasikii.

Chris Lugoe.
Ian Dialo.
Bobby Mingi.
Gozbert Njenge.
Deokaji makomba.
Shaban Kisu, n.k

Kwenye orodha sijamweka Pascal Mayalla maana sauti yake inawatoa nyoka pangoni.

Cc Monetary doctor Mbaga Jr Al-mukheef realMamy DR Mambo Jambo Tajiri Sina BAYA holoholo.
acob tesha hahaha redio mpaka itetemeke
 
Shaaban Kissu ameteuliwa juzi kuwa Naibu Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu
 
Shallom!

Wakuu naomba mnijulishe walipo watangazaji hawa wenye sauti nzito zilizojaa mamlaka na kumfanya nyoka akimbilie pangoni kujificha kwa hofu.

Ifuatayo ni orodha ya baadhi ya hao watangazaji wenye sauti nzito niliokuwa nawasikia lakini sasa siwasikii.

Chris Lugoe.
Ian Dialo.
Bobby Mingi.
Gozbert Njenge.
Deokaji makomba.
Shaban Kisu, n.k

Kwenye orodha sijamweka Pascal Mayalla maana sauti yake inawatoa nyoka pangoni.

Cc Monetary doctor Mbaga Jr Al-mukheef realMamy DR Mambo Jambo Tajiri Sina BAYA holoholo.
Kati ya uliowataja nimemjua Shaban Kisu wengine simkumbuki hata mmoja!
 
Shallom!

Wakuu naomba mnijulishe walipo watangazaji hawa wenye sauti nzito zilizojaa mamlaka na kumfanya nyoka akimbilie pangoni kujificha kwa hofu.

Ifuatayo ni orodha ya baadhi ya hao watangazaji wenye sauti nzito niliokuwa nawasikia lakini sasa siwasikii.

Chris Lugoe.
Ian Dialo.
Bobby Mingi.
Gozbert Njenge.
Deokaji makomba.
Shaban Kisu, n.k

Kwenye orodha sijamweka Pascal Mayalla maana sauti yake inawatoa nyoka pangoni.

Cc Monetary doctor Mbaga Jr Al-mukheef realMamy DR Mambo Jambo Tajiri Sina BAYA holoholo.
Chris Lugoe "ML Chris" na huyo Bobby niliwasikia "Mjini Fm" kipindi cha asubuhi nakumbuka hivyo.
 
ML Chris Leo asubuhi nilimsikia kupitia E-FM akifanya tangazo fulani.
 
Back
Top Bottom