secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Unafanya kazi kituo gani cha radio au unachoma mahindi baada ya kufurumushwa na BosiNiko hapa mmojawapo hapo kwa Id tofauti 😎
😀😀 tulia utanisikia tu siyo mda kwenye kituo adhimu kabisa hapa nchini lakini siyo unacho kifikiria mkuu.Unafanya kazi kituo gani cha radio au unachoma mahindi baada ya kufurumushwa na Bosi
Mimi namjua christian Odhiambo wa Kenya citizen, na kamauShallom!
Wakuu naomba mnijulishe walipo watangazaji hawa wenye sauti nzito zilizojaa mamlaka na kumfanya nyoka akimbilie pangoni kujificha kwa hofu.
Ifuatayo ni orodha ya baadhi ya hao watangazaji wenye sauti nzito niliokuwa nawasikia lakini sasa Siwasikii.
Chris Lugoe.
Ian Dialo.
Bobby Mingi.
Gozbert Njenge.
Deokaji makomba.
Shaban Kisu, n.k
kwenye orodha sijamweka Pascal Mayalla maana sauti yake inawatoa nyoka pangoni.
Cc Monetary doctor Mbaga Jr Al-mukheef realMamy DR Mambo Jambo Tajiri Sina BAYA holoholo.
Chunga sana usije ukaja na sauti nyororo kama ya mayalla au bill Sepenga.😀😀 tulia utanisikia tu siyo mda kwenye kituo adhimu kabisa hapa nchini lakini siyo unacho kifikiria mkuu.
Nilishagombana na mke wangu eti anamsifia Shaban Kisu kuwa na sauti nzito.Wakati wao ulipita ila Shaban Kisu Bado yupo TBC na Jaribu kufuatilia shughuli za kitaifa utamuona akiziendesha kama MC hasa za Mama
Wana sauti nzito au sauti inayokwaruza Kama ya pasta Pius Mwiru.Mimi namjua christian Odhiambo wa Kenya citizen, na kamau
Anza mazoezi ya kuongeza sauti iwe nzito. Kwa ushauri zaidi usisite kuwasiliana na The Mongolian SavageNilishagombana na mke wangu eti anamsifia Shaban Kisu kuwa na sauti nzito.
Nyambafu kwelikweli.
Chunga sana mke wako asije kuisikia sauti yangu hii adhimu kabisa inayo wapagawisha mabinti mpaka wake za watu maana utamkosaChunga sana usije ukaja na sauti nyororo kama ya mayalla au bill Sepenga.
Juzi kati kapandishwa cheoWakati wao ulipita ila Shaban Kisu Bado yupo TBC na Jaribu kufuatilia shughuli za kitaifa utamuona akiziendesha kama MC hasa za Mama
Nilifanya Kila namna ili kuwa na sauti nzito hadi nilichanganya yai bichi kwenye gongo nikanya ili kurudisha heshima kwa mke wangu.Anza mazoezi ya kuongeza sauti iwe nzito. Kwa ushauri zaidi usisite kuwasiliana na The Mongolian Savage
Nilishamdanganya kwa kumwambia watu wenye sauti nzito hawana nguvu za kiume na akaamini, sasa hivi akimsikia mtu mwenye sauti nzito anamdharau.Chunga sana mke wako asije kuisikia sauti yangu hii adhimu kabisa inayo wapagawisha mabinti mpaka wake za watu maana utamkosa
Alijua sana kutangaza football aise.Umemsahau CHARLES HILARY
Mwenyewe Nina bezi ya kichaga hapa, oyaaah Chali wangu we nyoookaaWana sauti nzito au sauti inayokwaruza Kama ya pasta Pius Mwiru.
Unafanya vipi sauti iwe nzito tofaut na kukaza Koo, 🤔Anza mazoezi ya kuongeza sauti iwe nzito. Kwa ushauri zaidi usisite kuwasiliana na The Mongolian Savage