Wako wapi watangazaji hawa wenye sauti nzito zilizopendwa na watoto wa kike

Mno na sauti zao zilipangilika ,vilivyo mtu tatu ndani ya traki moja.
Acha kabisa Ile combination.
Siyo kama hawa wa sasa ambao hwamalizi dakika tano hewani bila kunsifia mama samia.
 
Wakati wao ulipita ila Shaban Kisu Bado yupo TBC na Jaribu kufuatilia shughuli za kitaifa utamuona akiziendesha kama MC hasa za Mama
Shabani Kisu kwa sasa ni Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu.

NB: Hiyo picha kwenye avatar ni wewe realMamy ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…