Dume Jembe
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 707
- 774
acob tesha hahaha redio mpaka itetemekeShallom!
Wakuu naomba mnijulishe walipo watangazaji hawa wenye sauti nzito zilizojaa mamlaka na kumfanya nyoka akimbilie pangoni kujificha kwa hofu.
Ifuatayo ni orodha ya baadhi ya hao watangazaji wenye sauti nzito niliokuwa nawasikia lakini sasa siwasikii.
Chris Lugoe.
Ian Dialo.
Bobby Mingi.
Gozbert Njenge.
Deokaji makomba.
Shaban Kisu, n.k
Kwenye orodha sijamweka Pascal Mayalla maana sauti yake inawatoa nyoka pangoni.
Cc Monetary doctor Mbaga Jr Al-mukheef realMamy DR Mambo Jambo Tajiri Sina BAYA holoholo.
Hata BICHWA KOMWE - ?Humu wote wanaume
🤣😃Anaitwa nani na anafany kazi kituo ganiJ
acob tesha hahaha redio mpaka itetemeke
Jana kasema atanibamizaHata BICHWA KOMWE - ?
Mlikoseana nini?😀Jana kasema atanibamiza
Shaaban Kissu ameteuliwa juzi kuwa Naibu Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais IkuluShallom!
Wakuu naomba mnijulishe walipo watangazaji hawa wenye sauti nzito zilizojaa mamlaka na kumfanya nyoka akimbilie pangoni kujificha kwa hofu.
Ifuatayo ni orodha ya baadhi ya hao watangazaji wenye sauti nzito niliokuwa nawasikia lakini sasa siwasikii.
Chris Lugoe.
Ian Dialo.
Bobby Mingi.
Gozbert Njenge.
Deokaji makomba.
Shaban Kisu, n.k
Kwenye orodha sijamweka Pascal Mayalla maana sauti yake inawatoa nyoka pangoni.
Cc Monetary doctor Mbaga Jr Al-mukheef realMamy DR Mambo Jambo Tajiri Sina BAYA holoholo.
Hongera yake.Shaaban Kissu ameteuliwa juzi kuwa Naibu Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu
Mimi Ni mwanaume siku zote, hawezi niambia kitu ambacho selewi,Mlikoseana nini?😀
Kati ya uliowataja nimemjua Shaban Kisu wengine simkumbuki hata mmoja!Shallom!
Wakuu naomba mnijulishe walipo watangazaji hawa wenye sauti nzito zilizojaa mamlaka na kumfanya nyoka akimbilie pangoni kujificha kwa hofu.
Ifuatayo ni orodha ya baadhi ya hao watangazaji wenye sauti nzito niliokuwa nawasikia lakini sasa siwasikii.
Chris Lugoe.
Ian Dialo.
Bobby Mingi.
Gozbert Njenge.
Deokaji makomba.
Shaban Kisu, n.k
Kwenye orodha sijamweka Pascal Mayalla maana sauti yake inawatoa nyoka pangoni.
Cc Monetary doctor Mbaga Jr Al-mukheef realMamy DR Mambo Jambo Tajiri Sina BAYA holoholo.
Alikuambiaje😀Mimi Ni mwanaume siku zote, hawezi niambia kitu ambacho selewi,
Yeah, Kisu ni wa zamani na alikuwa kwenye kituo cha taifa.Kati ya uliowataja nimemjua Shaban Kisu wengine simkumbuki hata mmoja!
Mwamba amefariki asubuhi ya leo tarehe 11 Mei 2025. Ameumaliza mwendo. Mwenyezi Amrehemu.Umemsahau CHARLES HILARY
Nimelia sana maana jamaa namkumbuka kwa uwezo wake uliotukuka wa kutangaza soka.Mwamba amefariki asubuhi ya leo tarehe 11 Mei 2025. Ameumaliza mwendo. Mwenyezi Amrehemu.
Chris Lugoe "ML Chris" na huyo Bobby niliwasikia "Mjini Fm" kipindi cha asubuhi nakumbuka hivyo.Shallom!
Wakuu naomba mnijulishe walipo watangazaji hawa wenye sauti nzito zilizojaa mamlaka na kumfanya nyoka akimbilie pangoni kujificha kwa hofu.
Ifuatayo ni orodha ya baadhi ya hao watangazaji wenye sauti nzito niliokuwa nawasikia lakini sasa siwasikii.
Chris Lugoe.
Ian Dialo.
Bobby Mingi.
Gozbert Njenge.
Deokaji makomba.
Shaban Kisu, n.k
Kwenye orodha sijamweka Pascal Mayalla maana sauti yake inawatoa nyoka pangoni.
Cc Monetary doctor Mbaga Jr Al-mukheef realMamy DR Mambo Jambo Tajiri Sina BAYA holoholo.
Mwaka gani? Hahaha 😂Chris Lugoe "ML Chris" na huyo Bobby niliwasikia "Mjini Fm" kipindi cha asubuhi nakumbuka hivyo.