Wakongo (Congo DR) wametudharau sana Wabongo (Tanzania) Jana haki ya nani

Wakongo (Congo DR) wametudharau sana Wabongo (Tanzania) Jana haki ya nani

Hivi kweli sisi watanzania tulikuwa tupo serious tushinde ili tukakutane na timu ya Taifa ya Ujerumani au France? Seriously?
Why not? Nchi ambayo ipo uchumi wa kati kucheza na ujerumani kitu gani? Usi-umdermine donor country. Be confident!
 
Kocha wa Taifa Stars Kim Paulsen amekisuka Kikosi chake kwa Siku 8 mfululizo, huku Kocha Hector Couper ameungana na Wachezaji wake Juzi Usiku tu na Jana wametufunga Kishalubela (Kikatili) Magoli 3 kwa 0 kwa Mkapa tena mbele ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Waandamizi wengine wa Serikali.

Asante Wakongo wa Kutudharau Jana.

Hao Congo kiboko yao Aligeria or Morocco, akipangwa na mmoja wao ndiyo mwisho wao mammae
 
Back
Top Bottom