Wakongo na timu ya Yanga. Imeniuma sana

Wakongo na timu ya Yanga. Imeniuma sana

Habari za bil 20 zililetwa na Mo ila Kigwangala anahoji zilipo
Kingwangala ndio critic wakwanza kuhusu 20B

Na huyu anaenda kwa upepo, kipindi ambacho Simba inafanya vizuri wala huwezi kumsikia kuhusu 20B

Ila siku utokee mgogoro kidogo au tufungwe ndio utamuona ameliibua upya swala la 20B
 
Nchi kama ipi Africa inaisidia Tanzania kama ni wazungu sasa unataka kufananisha masikini wa kizungu na wakibongo tatizo hili swala limekaa kishabiki sio kiuhalisia na wale jamaa wanavyopenda camera tayari wameshapata BOOSTER hapo kaa na ujinga wako mpaka hersi aje.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Kenya wali saidia wahanga wa tetemeko Kagera umesahau juzi tu hapo
 
Nchi kama ipi Africa inaisidia Tanzania kama ni wazungu sasa unataka kufananisha masikini wa kizungu na wakibongo tatizo hili swala limekaa kishabiki sio kiuhalisia na wale jamaa wanavyopenda camera tayari wameshapata BOOSTER hapo kaa na ujinga wako mpaka hersi aje.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Hujaahi kuona KCB wakiisaidia kutoa vifaa vya hospitali hapa Tanzania?
Kwanini wasitoe Kenya, kwani huko hakuna watu wenye matatizo?
 
Kingwangala ndio critic wakwanza kuhusu 20B

Na huyu anaenda kwa upepo, kipindi ambacho Simba inafanya vizuri wala huwezi kumsikia kuhusu 20B

Ila siku utokee mgogoro kidogo au tufungwe ndio utamuona ameliibua upya swala la 20B
Almost 18 months imepita, mbona 20bn hazijazalisha interest yeyote?
20B inazalisha around 3B annually.
Mbona mapato ya interest rate yasitangazwe kama ni mapato ya Club?
 
Watanzania kwa unafiki na kupenda sifa hata hapa Tanzania kuna watu wanaishi maisha magumu kushinda hao tena magumu kweli labda kama wachezaji wao wanataka kuwachangia.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
we ni mpumbavu mbona hukumwambia Magufuli alipopeleka tani za mahindi huko Malawi Kama msaada?.
 
Hee jamani Utopolo msilazimishe watu wawe upande mnaotaka...yess msaada ni muhimu kwao ila hata hao kina Scars pia mbona maoni ya kujenga? Msaada waanze kuitoa kina Mayele kina Baleke kuonyesha mfano...
 
Aliye waletea habari za 20B
Wacha kujitoa ufahamu wewe hii habari tunakujua vizuri Sana, Kigwangara inamuuma kwa kuwa Ni Kolo pia, Ansona si sawa watu kudanganya imma mchana kweupe.
 
Kingwangala ndio critic wakwanza kuhusu 20B

Na huyu anaenda kwa upepo, kipindi ambacho Simba inafanya vizuri wala huwezi kumsikia kuhusu 20B

Ila siku utokee mgogoro kidogo au tufungwe ndio utamuona ameliibua upya swala la 20B
Ziko wapi? Hata kwenye hesabu za kihasibu hazikutajwa, Ila zilitajwa 2.5bn za M-bet na 17m mlizochangia wanachama kwa mwaka mzima. Shame on you kazi makelele Mitandaoni na propaganda uchwala nfyuuuuu.
 
Mwambie huyo

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom