Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kingwangala ndio critic wakwanza kuhusu 20BHabari za bil 20 zililetwa na Mo ila Kigwangala anahoji zilipo
Unawivu kama mjitaHersi awaoneshe hiyo clip wakongo man wake ambao wanalamba dau kubwa kumzidi fei tuone huruma yao katika hili
Una wivu mpk kwaa watu wenye matatizoWatanzania kwa unafiki na kupenda sifa hata hapa Tanzania kuna watu wanaishi maisha magumu kushinda hao tena magumu kweli labda kama wachezaji wao wanataka kuwachangia.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Kenya wali saidia wahanga wa tetemeko Kagera umesahau juzi tu hapoNchi kama ipi Africa inaisidia Tanzania kama ni wazungu sasa unataka kufananisha masikini wa kizungu na wakibongo tatizo hili swala limekaa kishabiki sio kiuhalisia na wale jamaa wanavyopenda camera tayari wameshapata BOOSTER hapo kaa na ujinga wako mpaka hersi aje.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Hujaahi kuona KCB wakiisaidia kutoa vifaa vya hospitali hapa Tanzania?Nchi kama ipi Africa inaisidia Tanzania kama ni wazungu sasa unataka kufananisha masikini wa kizungu na wakibongo tatizo hili swala limekaa kishabiki sio kiuhalisia na wale jamaa wanavyopenda camera tayari wameshapata BOOSTER hapo kaa na ujinga wako mpaka hersi aje.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Almost 18 months imepita, mbona 20bn hazijazalisha interest yeyote?Kingwangala ndio critic wakwanza kuhusu 20B
Na huyu anaenda kwa upepo, kipindi ambacho Simba inafanya vizuri wala huwezi kumsikia kuhusu 20B
Ila siku utokee mgogoro kidogo au tufungwe ndio utamuona ameliibua upya swala la 20B
we ni mpumbavu mbona hukumwambia Magufuli alipopeleka tani za mahindi huko Malawi Kama msaada?.Watanzania kwa unafiki na kupenda sifa hata hapa Tanzania kuna watu wanaishi maisha magumu kushinda hao tena magumu kweli labda kama wachezaji wao wanataka kuwachangia.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Wacha kujitoa ufahamu wewe hii habari tunakujua vizuri Sana, Kigwangara inamuuma kwa kuwa Ni Kolo pia, Ansona si sawa watu kudanganya imma mchana kweupe.Aliye waletea habari za 20B
Ziko wapi? Hata kwenye hesabu za kihasibu hazikutajwa, Ila zilitajwa 2.5bn za M-bet na 17m mlizochangia wanachama kwa mwaka mzima. Shame on you kazi makelele Mitandaoni na propaganda uchwala nfyuuuuu.Kingwangala ndio critic wakwanza kuhusu 20B
Na huyu anaenda kwa upepo, kipindi ambacho Simba inafanya vizuri wala huwezi kumsikia kuhusu 20B
Ila siku utokee mgogoro kidogo au tufungwe ndio utamuona ameliibua upya swala la 20B
Mwambie huyoZiko wapi? Hata kwenye hesabu za kihasibu hazikutajwa, Ila zilitajwa 2.5bn za M-bet na 17m mlizochangia wanachama kwa mwaka mzima. Shame on you kazi makelele Mitandaoni na propaganda uchwala nfyuuuuu.
Anafahamika vzrWacha kujitoa ufahamu wewe hii habari tunakujua vizuri Sana, Kigwangara inamuuma kwa kuwa Ni Kolo pia, Ansona si sawa watu kudanganya imma mchana kweupe.