Wakongwe Forum

Wakongwe Forum

Shika adabu we mzee.
Kunguni kibao....mie kwangu Itika(thubutu)
Babu ule mjengo pembeni ya Itika mmiliki wake nani?
Nataka nijitose....kuna siku nimekugumia umekaa na yule baamedi aliyekuwa demu wa mamvi...nawe jiandae tunakuzika siku si nyingi
aisee
 
Mtambuzi yupo na juzi alikuja tukaja kula urojo.
Uende kumuangalia....nasikia kaangukiwa na turubai kule Azura wakati anaandaa tent...kavunjika kiuno.
Hakuna ndoa tena
Ahsante kwa taarifa. Ngoja nijipange nianzen kutumia viburudisho vyake. Jamaa choyo na bepari sana. Halijui kula na nduguze.

Nasema hivi hicho kiuno na kivunjike tu maramana hamna namna tena

Ukunionea Paloma mwambie bado nampenda eti. Hata kama kashaolewa
 
Wasomali na yale ma-fiat je?
Kujipanga binamu.
Hahahahah......doli doli.
Mdogo wa umri tu...hatareee
Hahahahahahah basi ujue bado dogo kashikilia usukuni, hongera zake, mwambie akumbuke kunilipa bhana sio akufaidi tu bila kulipa fadhila kwa sisi tulioruhusu akufaidi
 
Hahahahahahah basi ujue bado dogo kashikilia usukuni, hongera zake, mwambie akumbuke kunilipa bhana sio akufaidi tu bila kulipa fadhila kwa sisi tulioruhusu akufaidi
usisahau kutoa risit.
 
Asavala sasa kuliko kuitana shemeji na kuogopana
hebu kuja pande hii fasta unipe busu lile wanaita french kiss
Asprin shikamoo babu
Madame B nimekumisso kuliko maelezo
Tized nasikia nyumba ndogo yake imenyang'anya simu
Mr Rocky una deni na mimi ujue....nikisema hapa aibu yetu.
Hivi ulikuwa unamaanisha au?
Unajua wiki ijayo nakuja Mwanza, usijisahaulishe, ndo nini kuniwekea white finger pale kaunta?
Hebu do the needfull binamu nyama ya hamu bhana.
 
Ahsante kwa taarifa. Ngoja nijipange nianzen kutumia viburudisho vyake. Jamaa choyo na bepari sana. Halijui kula na nduguze.

Nasema hivi hicho kiuno na kivunjike tu maramana hamna namna tena

Ukunionea Paloma mwambie bado nampenda eti. Hata kama kashaolewa
Hawawezi kukata kitu kinachowapa burudani. Ukikitumia vizuri wamakitunza na kukilea.

Paloma tangu ahamie wilaya ile yenye mkuu wa wilaya handsome Dar nzima, basi haonekani.
Ila nadhani Mentor anajua kinachoendelea maana nasikia kule ni pua na sharubu.
 
Back
Top Bottom