fakalava
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 4,459
- 6,027
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binamu...ila wewe mwenyewe ulikosa vizuri kwa uzembe wako.Hahahahahahah basi ujue bado dogo kashikilia usukuni, hongera zake, mwambie akumbuke kunilipa bhana sio akufaidi tu bila kulipa fadhila kwa sisi tulioruhusu akufaidi
Bazazi hapewi pole.mfikishie pole nyingi
Hahahahahhaa nakumbuka tulikaa Jolly hahahaha, naaam binamu nyama ya hamu bhana!!!Binamu...ila wewe mwenyewe ulikosa vizuri kwa uzembe wako.
Dogo alipoondoka, pale Jolly kwenye msosi nilielekea kibla kabisa, mpaka Chachu Ombara alipookoa jahazi.
Tangu nihame huko kwenu...basi maeneo yetu yale ya kupeana rutuba nishayasahau.Magufuli poa sana. Kasababisha gharama za burudani kupungua. Pale Sia siku hizi chumba buku 15 tu. Akaze kamba mpk ifikie buku 10 tuheshimiane mjini
Asa marijali ndo wakaokoa jahazi.Hahahahahhaa nakumbuka tulikaa Jolly hahahaha, naaam binamu nyama ya hamu bhana!!!
Najiandaa kuhudhuria ile ya mtambuzi ya keshokutwa, Itakua poa sana aiseeeeHahahahahhaa nakumbuka tulikaa Jolly hahahaha, naaam binamu nyama ya hamu bhana!!!
Hahahahahahahaa Rijali wa kunishinda mie?? Atakua alitumia booster huyoAsa marijali ndo wakaokoa jahazi.
Shauri zako
Anashindana makapuku teh[emoji3]Wakongwe wanatafutwa kwa hudi na uvumba namna hii hahhahah hebu sema unataka kufanya part ya get together ama nene
Halafu kuna mtu mmoja namsaka,hope utanisaidia kumpataKhaa!!!
Kwani mnajuana?
Hahahhaha......ushanivua nguo binamu....ushanivua.
Hahahhah......ngoja nimalize kucheka narudi.
Mdogo wa umri tu yule binamu....ila hatareee.
Aiseeee.....we mpekuzi hatare
Mkeo Dena hajambo?Evelyn Salt hilo ushemeji unaninyima nini au unataka kuniambia ukifika muda nizime tuu taa
Hahaahah.....kabla hujamtaja, niambie niandae zana gani za kivita.Halafu kuna mtu mmoja namsaka,hope utanisaidia kumpata
Hebu njoo nikupe utamu wa kekiAna heri uliyepitia tumboni mwake
Mwambie ahsanta kwa kutuletea kiburudisho.
Hatutamuangusha
Siku hizi kuna machine za kufuta tatoo....nini muhuri binamu.Kweli aiseee, wala haiachi alama kama mhuri