Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hahahahaahhaa tende na maziwa, hahahahaaa mchakamchaka hadi mwisho wa kituoSiku hizi kuna machine za kufuta tatoo....nini muhuri binamu.
Ila nyie viumbe wengine wa kiume bhana, huwa mnakulaga nini?....utakuta nakaa na protini yako siku 3.
Jamaniiiii.....