Wakongwe Forum

Shoga angu acha tu.
Mie na fudenge tulisingiziwa wizi wa gari....acha tu.
Mpaka tukafunguliwa thread.
Dadeki
Madame B huyu huyu wa siku zote aibe gari au kuna mwingine? jamaa alienda mbali...hakuna kitu kinauma kama kusingiziwa tena wizi... pole mama ndio maisha ya kuishi na watu... Penye wengi Pana mengi...
 
Kuna ugomvi fulani jukwaa la celebrities. Alikuwa anafuatiliaga, sijui kulikua na ishu gani exactly. Ila nilisikia akitaja jina la Mange, Wewe.
[emoji13] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] mange amekatwa kichwa sasa amekuwa mdogooo. Na mie nimekua siku hizi nasaka hela sio umbea ndugu yangu. #Majukumuuuuu
 
Niajiri kwa kazi ya ukaguzi. Teh.
Utahitaji kufanyiwa interview.... nitajie mabinti watatu unaotaka kufanya nao majaribio. Ukifanikiwa wawili nakuahidi ajira ASAP
 
[emoji13] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] mange amekatwa kichwa sasa amekuwa mdogooo. Na mie nimekua siku hizi nasaka hela sio umbea ndugu yangu. #Majukumuuuuu

Hongera. Komaa.
 
Mzima Mkuu Rocky? umepotea kama shilingi ya mkoloni Mkuu? nategemea wewe pamoja na familia yote mko poa kabisa Mkuu. Kama umebanwa Mkuu hata pm ya mstari mmoja inatosha kabisa Mkuu. Usiku mwema.
Mkuu BAK nipo bro wangu mambo tuu yamekuwa mengi
Kwa kweli nakiri kupotea sana ila nitakuwa napita pita kukusalimu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…