Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Madame B huyu huyu wa siku zote aibe gari au kuna mwingine? jamaa alienda mbali...hakuna kitu kinauma kama kusingiziwa tena wizi... pole mama ndio maisha ya kuishi na watu... Penye wengi Pana mengi...Shoga angu acha tu.
Mie na fudenge tulisingiziwa wizi wa gari....acha tu.
Mpaka tukafunguliwa thread.
Dadeki