Wakongwe Forum

Wakongwe Forum

Wakongwe wanatafutwa kwa hudi na uvumba namna hii hahhahah hebu sema unataka kufanya part ya get together ama nene
 
Amededi asee. Hivi sasa funza wanagomba steki. RIP

BTW umetupa jongoo na mti wake? Huyo bwana uliyempata leo jioni mpe shkamoo zangu saba.

Hivi Mtambuzi yuko hai?
Mtambuzi yupo na juzi alikuja tukaja kula urojo.
Uende kumuangalia....nasikia kaangukiwa na turubai kule Azura wakati anaandaa tent...kavunjika kiuno.
Hakuna ndoa tena
 
Back
Top Bottom