Wakongwe Forum

Wakongwe Forum

Madame B HAJAWAI NIJIBU PM YANGU HATA SIKU MOJA ILA ANALIKE KOMENTI ZANGU TU
Mie nina hamu na nyie?
Nilimfataga member wa Arusha wing usiku kwa usiku kisa alikuja Pm na akaniweka kinyumba.
PakaJimmy na Arushaone wabaya sana hawa watu....walikuwa wanakuja kunijulia hali kila siku kwa ndugu yao.
Pm nyingine zinakuwa mnawekaga limbwata mwaenzangu.
Tuonane jukwaani aisee...Pm kuna uchawi
 
Ha haaa si uli enjoy lakini?
 
Back
Top Bottom