Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Kunisifia kama kunasuuza roho yako... sifia mama. Sifia niongeze ujuzi. Nimeletwa duniani kukupa raha mtoto wa kingoni. Kula raha nafsi itulie..Tatizo nakusifia sana ndiyo maana wanataka na wao.......aya baby uje nalo tu mana hamna namna.