Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
We si mzima wallahi ujue[emoji1]Si yule mwenye jimwili rirefu kama mkojo wa mlevi?
We nawe...hukuwa unasoma picha?
Raha ya umbea uudake fasta fasta, nishakuacha
Ile raha nyingine si ulipata lakini? Au hukufikishwa nako