Wakongwe Forum

Wakongwe Forum

Prado halina tofauti na chumba namba 7 Mianzini guest house[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ila dah Mianzini ya sasa sio ya kipindi kile.
ukisukuma mlango, uko chumbani.
Ya sasa ni mwaaaah!!!!
Ila sitasahau fumanizi la pale.
Hebu tuyaache haya
 
Ila dah Mianzini ya sasa sio ya kipindi kile.
ukisukuma mlango, uko chumbani.
Ya sasa ni mwaaaah!!!!
Ila sitasahau fumanizi la pale.
Hebu tuyaache haya
Pale ndo nyumbani kwa mafumanizi. Kuna njemba zinakaa pale kuangalia wanaoingia. Wakikujua wanauza mechi. Wakware wengi wamepakimbia...
 
Azura tuje kufanya nini? Mi na sister wangu tutakuwa maeneo ya Goba tunafundishana kuchuma mchicha na popo kuinyea mbingu
Bazazi mwenzio kule hazai mpaka leo, popo kanyea mbingu hiyo, kategua korodani na bamia yake
 
Back
Top Bottom