Wakongwe Forum

Wakongwe Forum

Ile zamani wakisemaga ni kipara cha utajiri. Siku hizi upara unawaibukia mpaka madogo. Sijui ni hawa kuku hawa??
hahaaaa upara wa utajiri....itakuwa makuku hayo mana wengi wavivu wa kutafuna nyama ngumu.
 
hahhaaaa uwazara ndiyo nini?
Huu hapa...mfereji wa kati umeuona?
Ndo uwaraza huo....watu wananyoa vipara kuukwepa akiwepo huyo Asprin wako
Screenshot_2016-07-25-10-37-24-1.png
 
Back
Top Bottom