Wakongwe Forum

Wakongwe Forum

Habari ya jumapili wadau wangu wa nguvu
 
1694573405897.png
 
Unakumbuka tukio gani lililokupa msisimko hapa jukwaani?
Nilipata msisimuko in negative way, kuna memba nilikuwa namkubali sana harakati zake, siku naingia JF nakutana na threads ametangulia mbele za haki. Niliumia sana kama namfahamu vile continue to rest in peace dear WARUMI , wewe jee tukio gani??
 
Back
Top Bottom