Wakongwe wa Coding Wanaogopa AI — Lakini vijana wanaikumbatia na kuwapita kwa Kasi

mabakila1

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2020
Posts
482
Reaction score
617
Katika dunia ya sasa, Artificial Intelligence (AI) imeleta mapinduzi makubwa kwenye sekta ya teknolojia, hasa kwenye coding na software engineering. Kwa kutumia AI, tunaweza sasa kuandika, kurekebisha, na hata kupima code kwa haraka zaidi, kwa usahihi zaidi, na kwa gharama ndogo. Hii imefungua mlango wa uvumbuzi mkubwa na ufanisi usio na kifani.

Lakini kwa masikitiko makubwa, bado kuna baadhi ya wahandisi wa programu (software engineers) — hasa wale wenye uzoefu wa muda mrefu — wanaoona AI kama tishio badala ya nyenzo. Wengine huona kama kutumia AI ni "kuchakachua" kazi au kutopitia "michakato ya asili ya kusolve tatizo". Hali hii inaleta masikitiko makubwa kwani mtazamo huu huchelewesha maendeleo, na pia huwanyima watu wapya nafasi ya kujifunza haraka kupitia msaada wa AI.
---

Story Fupi ya Kuelimisha:

Kuna mhandisi mmoja mzoefu aliyezoea kuandika kila kitu mwenyewe. Aliamini kuwa kutumia AI ni kupunguza ubunifu. Siku moja, alipata changamoto ya kutengeneza algorithm tata ya kuchuja taarifa kubwa. Aliamua kufanya kwa mikono, akatumia wiki mbili. Mwanafunzi aliyekuwa chini yake, kwa kutumia AI kama msaidizi, alitengeneza suluhisho linalofanana kwa siku moja tu.

Badala ya kumshangilia, mhandisi huyo alibeza kazi ya mwanafunzi. Lakini baada ya muda, alipochoka kufanya kazi kwa mikono kila siku, aliamua kujaribu kutumia AI kidogo. Alishangaa kuona kuwa AI haikuondoa maarifa yake, bali iliimarisha uwezo wake, ikamwezesha kufikiria mambo makubwa zaidi kuliko kufungwa na kazi za kurudia.

Tangu siku hiyo, alibadilika kuwa mmoja wa watetezi wakubwa wa AI kwenye coding — na sasa ni mshauri wa miradi mikubwa inayotumia AI kusaidia jamii.
---
Ujumbe Muhimu:
"AI si mbadala wa ubunifu, bali ni msukumo wa ubunifu mpya. Watakaopuuza mabadiliko wataachwa nyuma, lakini wanaokumbatia AI kwa hekima — wataongoza kizazi kijacho cha wahandisi wabunifu zaidi."
Tukubali AI kama msaidizi — si adui. Kumbuka: AI haibadilishi akili ya binadamu, bali huiongeza nguvu.
 
Alishangaa kuona kuwa AI haikuondoa maarifa yake, bali iliimarisha uwezo wake, ikamwezesha kufikiria mambo makubwa zaidi kuliko kufungwa na kazi za kurudia.
Uko sahihi kabisa, hivi leo usishangae kusikia
  1. Kuna watu bado wanachora ramani za majengo kwenye makaratasi kwa kutumia rula na pencil
  2. Kuna walimu wanasolve hesabu kwa slide rule na kupanga matokeo ya mitihani manually badala ya spreadsheet
  3. Kuna wakubwa maofisini hawajui kabisa matumizi ya email wala computer na wanaona vitu hivyo ni haram
 
Tukubali AI kama msaidizi — si adui. Kumbuka: AI haibadilishi akili ya binadamu, bali huiongeza nguvu.
NAKAZIA
Inasaidia, tufanye mfano Rahisi
anayeenda zenji kutoka dar kwa mtumbwi(huyu anajua kodingi tu)
anayeenda zenji kutoka dar kwa boti(huyu anajua kodingi pia mzoefu)
anayeenda zenji kutoka dar kwa ndege(huyu anajua kodingi, mzoefu halafu anatumia AI)
MWISHO! Hao hawana tofauti na wale mameneja wa serikalini wenye elimu za kipindi cha nyerere wanadhani degree za sasa ni tishio kwao ndio maana miradi yao karibu yote inafeli wanafanya nyuma ya wakati
 
AI unalipia pro version, unatengeneza document unaiambia weka katika Publishers, inaanza kumbwela mbwela hasa kuandika kwenye text (content) vitu visivyo eleweka, hapo ndio naichukia AI.

Mfano umeandika JUKUMU LA KIWANADA unaiambia weka kwenye publishers
Inaandika KUM IL NDANDA
 
Binafsi nimekua kwenye coding kwa zaidi ya miaka 15 na sijatumia AI hata siku moja kufanya coding, naona kila mtu anasifia, nataka nianze kujifunza.
Jifunze wew tena una uzoeefu utafanya vitu kwa ubora zaidi Manual code ni kama Baiskelii ila ukiongeza Ai ni PikiPiki ukiongeza uwezo wako wa coding ni rocket tunaenda mars 😎
 
Katika dunia ya sasa, Artificial Intelligence (AI) imeleta mapinduzi makubwa kwenye sekta ya teknolojia, hasa kwenye coding na software engineering. Kwa kutumia AI, tunaweza sasa kuandika, kurekebisha, na hata kupima code kwa haraka zaidi, kwa usahihi zaidi, na kwa gharama ndogo. Hii imefungua mlango wa uvumbuzi mkubwa na ufanisi usio na kifani.

Lakini kwa masikitiko makubwa, bado kuna baadhi ya wahandisi wa programu (software engineers) — hasa wale wenye uzoefu wa muda mrefu — wanaoona AI kama tishio badala ya nyenzo. Wengine huona kama kutumia AI ni "kuchakachua" kazi au kutopitia "michakato ya asili ya kusolve tatizo". Hali hii inaleta masikitiko makubwa kwani mtazamo huu huchelewesha maendeleo, na pia huwanyima watu wapya nafasi ya kujifunza haraka kupitia msaada wa AI.

---

Story Fupi ya Kuelimisha:

Kuna mhandisi mmoja mzoefu aliyezoea kuandika kila kitu mwenyewe. Aliamini kuwa kutumia AI ni kupunguza ubunifu. Siku moja, alipata changamoto ya kutengeneza algorithm tata ya kuchuja taarifa kubwa. Aliamua kufanya kwa mikono, akatumia wiki mbili. Mwanafunzi aliyekuwa chini yake, kwa kutumia AI kama msaidizi, alitengeneza suluhisho linalofanana kwa siku moja tu.

Badala ya kumshangilia, mhandisi huyo alibeza kazi ya mwanafunzi. Lakini baada ya muda, alipochoka kufanya kazi kwa mikono kila siku, aliamua kujaribu kutumia AI kidogo. Alishangaa kuona kuwa AI haikuondoa maarifa yake, bali iliimarisha uwezo wake, ikamwezesha kufikiria mambo makubwa zaidi kuliko kufungwa na kazi za kurudia.

Tangu siku hiyo, alibadilika kuwa mmoja wa watetezi wakubwa wa AI kwenye coding — na sasa ni mshauri wa miradi mikubwa inayotumia AI kusaidia jamii.

---

Ujumbe Muhimu:

Tukubali AI kama msaidizi — si adui. Kumbuka: AI haibadilishi akili ya binadamu, bali huiongeza nguvu.
Vijana wengi wanaikombatia si kwa mambo ya coding bali mambo ya ujana. Wakati programmers wana different approach to that
 
AI unalipia pro version, unatengenezq documentbinaiambia weka katika Publishers, inaanza kumbwela mbwela hasa kuandika kwenye text (content) vitu visivyo eleweka, hapo ndio naichukia AI.

Mfano umeandika JUKUMU LA KIWANADA unaiambia weka kwenye publishers
Inaandika KUM IL NDANDA
Sio kwamba AI haikoseii mkuu hapo unafeliii kbs kwani Gari linauzwa bei kubwa mbona linaenda garage?
 
rookie ndo hukimbilia AI, pro huwezimkuta akihangaika na ujinga huo
I beg to differ with you, even pro wanatumia but si sana. I have guys wanatumia ku troubleshoot errors, na optimizations na ni pro kwenye industry

It up to muhusika wenyewe kukubali na kutumia kama tool or keep stiking to old ways
 
Code za AI na kama hujui code ni swala la mda, unajikuta uchi.. AI haijaja ku phase out Software developer, ila ni tools ya kurahisiha kazi
Ni kweli kbs lazima ujue Ai inacho generate wewe kazi yako ku. Monitor inafanya kazii vzr
 
I beg to differ with you, even pro wanatumia but si sana. I have guys wanatumia ku troubleshoot errors, na optimizations na ni pro kwenye industry

It up to muhusika wenyewe kukubali na kutumia kama tool or keep stiking to old ways
Mim nilikua situmii Ai baada kuilewa nikaanz jua umuhimu wake na udhaifu wake kuna watu wanatak Ai iwe perfect hapo ndo wanafelii ila Ai inaongeza Speed ila hakuna shortcut ya kujifunzaa ila pia Ai ni nzur kwa kujifunza sanaa step by step kuliko hata Youtubers wa coding...
 
Naa si perfect ans sometimes haitoi majibu sahihi. Usipokuwa makini unaharibu kazi
 
Back
Top Bottom