Wakongwe wa Coding Wanaogopa AI — Lakini vijana wanaikumbatia na kuwapita kwa Kasi

Wakongwe wa Coding Wanaogopa AI — Lakini vijana wanaikumbatia na kuwapita kwa Kasi

Watu wanavyosema kuwa AI inafanya kila kitu.... As if ni kweli ila deep down AI inakuja kumsaidia mtu ambaye tayar ni pro kwenye fani flan...

Ila kama ni begginer huwezi toboa na AI yako hata mara moja...

Mfano.. kuna jamaaa ni IT wizara flan hapo, yeye ni pure mtu wa code ila linapokuja suala la graphics design hatoboi...

Kuna siku alitaka nimpe software zote nikampa, akapata kazi ya kutengeneza vitu flan pale ofisin but alishindwa japo alitumia AI naakatuma nikague but kazi ilikosa uhalisia...

Kutokana na hvo nika conclude kuwa AI ni kwa pro tu.
Juzi nilileta tatizo la orange death screen kwa computer... Hakuna AI wala nnaliyeweza toboa nilikesha night kali mpka huyu bi mkubwa mama mwenye nyumba akanimaindi maana nilikua sijiby text zake

(hapa niweke sawa kiufupi nimemuelewa mama mwenye nyumba daaah ni kadogo dogo alafu kananikunaki kingese an just imagine namchek night kali nae anajibu jibu tuu kwann nisipige swaga mkuu.... Au tatumia AI nijue mbinu kabambe za kutongoza mwenye nyumba bila yeye kujitambua kwamba anatongozwa)

Turudi kwa mda ila desktop sikupata exact answer even YouTube wapii
Mpka nilipelka waliponiuzia ndio wakagundu tatizo ni nini na hapo waka fix chap...

So ukiona mtu ana mind ujiowa AI jua bado hajaelewa kuwa AI ni complicated kwa beginner.. hata mm mwanzo nilikua naogopa. Ila baada ya kuona watu bado wana leta kazi nikajua kweli AI ni mshangazi wa kimara suka iliuweze kuw nae inBidi at most ujue lugha ngeni
 
Ai ya sasa kwenye coding ni uongo,
Ukichukua code inazokupa inaleta errors au kukupa matokeo tofauti hata uandike prompt ya aina gani,

Labda miaka 2 ijayo
 
Tukubali AI kama msaidizi — si adui. Kumbuka: AI haibadilishi akili ya binadamu, bali huiongeza nguvu.
AI no msaidizi, ila inafubaza .antiki. Ni sawa na kuruhusu matumizi ya calculator kuanzia darasa la kwanza, mtoto hatajua mantiki ya kujumlisha vitu, au kugawana. Wala hatajua ni mazingira gani natakiwa kujumlisha, na yapi natakiwa kugawa. Ila akipewa maelekezo ya kujumlisha au kugawa, atapatia maana anaweza kutumia calculator
 
Wewe ndio unaniambia ni pro code master nimekupima IQ yako kwa hii type ya jibu lako inaonesha wewe hamna kitu code inahitajika mtu genius.

Mda mwengine majibu yako yanaweza kukuonesha uwezo wako wa IQ kwa upande wangu samahani laki. jiulize ulituambia ni pro kwa yupi aliye kuuliza ? je mimi kutaka kuona ubunifu wako kama ulivyosema ni kosa ? au basi sitaki kuona kazi zako tena.
 
Wewe nikuoneshe nilichofanya kama nani ?
na ili iweje ? Unamaneno mengi kama kasuku
 
so negative, anyway hata haya ni maonesho ya kazi yako kwangu.
Ungekuwa genius, ungejibu swali ambalo lilikuwa jepesi sana. Ila unaanza leta taarabu kama mtoto wa kike. " unaka uone kazi nilizofanya kama nani ? na ili iweje simple
 
ndiyo, sababu LLMs za AI zimekuwa modelled na datasets zilizokusanywa na majibu ya hao pro, au training datasets zimetoka hewani ?
Unajua bro AI inakuja kama assistant. So kudharau sio sawa inakupungiza mzigo mkubwa ambao wewe kama coder ungetumia muda mrefu kukamilisha KAZI yako. Na tunapoelekea UPANDE WA tech utadorora maana AI itaendelea kujifunza mambo mapya kila siku so itareplace ujuzi mwingi WA tech tujipange.
 
Sio ujinga mkuu sema ego zako
Nyie ndo mtasema kulima kwa treka ni uzembe watu waendelee kulima kwa jembe 😀😀😀😀😀

Hivi wajua kuna watu kwasasa hawataki kutembea kwa miguu,hata km tano au kumi,tokana tu na ujio wa pikipiki??,, Yaani hata kama hakuna haja ya haraka ya kule aendako.
Unajifikiriaje hilo??? 👆👆😄
 
Sio ujinga mkuu sema ego zako
Nyie ndo mtasema kulima kwa treka ni uzembe watu waendelee kulima kwa jembe 😀😀😀😀😀
Sawa na muziki wa computer na wa band kutumia ala halisi. Wanamziki wakongwe( kina king kiki, Ali zoro nk ) waliamini ktk band kina diamond waka amini CD. Leo matajiri ni wale wanaotumia nyimbo za studio ya computer.
Jambo lingine ni hand writing vs keyboard/ office programs.
Autocad vs hand designing.
Mkuu ni suala la muda wala nguvu haitatumika wenyewe watanyooka.
 
Hakika akya nani lkn kizazi hiki,kitadumaa akili,fikra na ubunifu.yaani mwanamziki unajua tu kutumia mic baaasi umemaliza!! Hatari sana na bado wajivunia kabisaa.
 
Back
Top Bottom