Tukubali AI kama msaidizi — si adui. Kumbuka: AI haibadilishi akili ya binadamu, bali huiongeza nguvu."AI si mbadala wa ubunifu, bali ni msukumo wa ubunifu mpya. Watakaopuuza mabadiliko wataachwa nyuma, lakini wanaokumbatia AI kwa hekima — wataongoza kizazi kijacho cha wahandisi wabunifu zaidi."
Sio ujinga mkuu sema ego zakorookie ndo hukimbilia AI, pro huwezimkuta akihangaika na ujinga huo
Uko sahihi kabisa, hivi leo usishangae kusikiaAlishangaa kuona kuwa AI haikuondoa maarifa yake, bali iliimarisha uwezo wake, ikamwezesha kufikiria mambo makubwa zaidi kuliko kufungwa na kazi za kurudia.
sites za ki-pro kama StackOverflow uka post AI generated script uombe msaada, unalambwa ban mda huo huoSio ujinga mkuu sema ego zako
Nyie ndo mtasema kulima kwa treka ni uzembe watu waendelee kulima kwa jembe 😀😀😀😀😀
NAKAZIATukubali AI kama msaidizi — si adui. Kumbuka: AI haibadilishi akili ya binadamu, bali huiongeza nguvu.
Wanajikuta smart ujinga..sites za ki-pro kama StackOverflow uka post AI generated script uombe msaada, unalambwa ban mda huo huo
Jifunze wew tena una uzoeefu utafanya vitu kwa ubora zaidi Manual code ni kama Baiskelii ila ukiongeza Ai ni PikiPiki ukiongeza uwezo wako wa coding ni rocket tunaenda mars 😎Binafsi nimekua kwenye coding kwa zaidi ya miaka 15 na sijatumia AI hata siku moja kufanya coding, naona kila mtu anasifia, nataka nianze kujifunza.
Vijana wengi wanaikombatia si kwa mambo ya coding bali mambo ya ujana. Wakati programmers wana different approach to thatKatika dunia ya sasa, Artificial Intelligence (AI) imeleta mapinduzi makubwa kwenye sekta ya teknolojia, hasa kwenye coding na software engineering. Kwa kutumia AI, tunaweza sasa kuandika, kurekebisha, na hata kupima code kwa haraka zaidi, kwa usahihi zaidi, na kwa gharama ndogo. Hii imefungua mlango wa uvumbuzi mkubwa na ufanisi usio na kifani.
Lakini kwa masikitiko makubwa, bado kuna baadhi ya wahandisi wa programu (software engineers) — hasa wale wenye uzoefu wa muda mrefu — wanaoona AI kama tishio badala ya nyenzo. Wengine huona kama kutumia AI ni "kuchakachua" kazi au kutopitia "michakato ya asili ya kusolve tatizo". Hali hii inaleta masikitiko makubwa kwani mtazamo huu huchelewesha maendeleo, na pia huwanyima watu wapya nafasi ya kujifunza haraka kupitia msaada wa AI.
---
Story Fupi ya Kuelimisha:
Kuna mhandisi mmoja mzoefu aliyezoea kuandika kila kitu mwenyewe. Aliamini kuwa kutumia AI ni kupunguza ubunifu. Siku moja, alipata changamoto ya kutengeneza algorithm tata ya kuchuja taarifa kubwa. Aliamua kufanya kwa mikono, akatumia wiki mbili. Mwanafunzi aliyekuwa chini yake, kwa kutumia AI kama msaidizi, alitengeneza suluhisho linalofanana kwa siku moja tu.
Badala ya kumshangilia, mhandisi huyo alibeza kazi ya mwanafunzi. Lakini baada ya muda, alipochoka kufanya kazi kwa mikono kila siku, aliamua kujaribu kutumia AI kidogo. Alishangaa kuona kuwa AI haikuondoa maarifa yake, bali iliimarisha uwezo wake, ikamwezesha kufikiria mambo makubwa zaidi kuliko kufungwa na kazi za kurudia.
Tangu siku hiyo, alibadilika kuwa mmoja wa watetezi wakubwa wa AI kwenye coding — na sasa ni mshauri wa miradi mikubwa inayotumia AI kusaidia jamii.
---
Ujumbe Muhimu:
Tukubali AI kama msaidizi — si adui. Kumbuka: AI haibadilishi akili ya binadamu, bali huiongeza nguvu.
Sio kwamba AI haikoseii mkuu hapo unafeliii kbs kwani Gari linauzwa bei kubwa mbona linaenda garage?AI unalipia pro version, unatengenezq documentbinaiambia weka katika Publishers, inaanza kumbwela mbwela hasa kuandika kwenye text (content) vitu visivyo eleweka, hapo ndio naichukia AI.
Mfano umeandika JUKUMU LA KIWANADA unaiambia weka kwenye publishers
Inaandika KUM IL NDANDA
Code za AI na kama hujui code ni swala la mda, unajikuta uchi.. AI haijaja ku phase out Software developer, ila ni tools ya kurahisiha kazirookie ndo hukimbilia AI, pro huwezimkuta akihangaika na ujinga huo
I beg to differ with you, even pro wanatumia but si sana. I have guys wanatumia ku troubleshoot errors, na optimizations na ni pro kwenye industryrookie ndo hukimbilia AI, pro huwezimkuta akihangaika na ujinga huo
Ni kweli kbs lazima ujue Ai inacho generate wewe kazi yako ku. Monitor inafanya kazii vzrCode za AI na kama hujui code ni swala la mda, unajikuta uchi.. AI haijaja ku phase out Software developer, ila ni tools ya kurahisiha kazi
Ni tools tu, na lazima ujue kuzitumia sio copy and paste.Ni kweli kbs lazima ujue Ai inacho generate wewe kazi yako ku. Monitor inafanya kazii vzr
Mim nilikua situmii Ai baada kuilewa nikaanz jua umuhimu wake na udhaifu wake kuna watu wanatak Ai iwe perfect hapo ndo wanafelii ila Ai inaongeza Speed ila hakuna shortcut ya kujifunzaa ila pia Ai ni nzur kwa kujifunza sanaa step by step kuliko hata Youtubers wa coding...I beg to differ with you, even pro wanatumia but si sana. I have guys wanatumia ku troubleshoot errors, na optimizations na ni pro kwenye industry
It up to muhusika wenyewe kukubali na kutumia kama tool or keep stiking to old ways
Naa si perfect ans sometimes haitoi majibu sahihi. Usipokuwa makini unaharibu kaziMim nilikua situmii Ai baada kuilewa nikaanz jua umuhimu wake na udhaifu wake kuna watu wanatak Ai iwe perfect hapo ndo wanafelii ila Ai inaongeza Speed ila hakuna shortcut ya kujifunzaa ila pia Ai ni nzur kwa kujifunza sanaa step by step kuliko hata Youtubers wa coding...