Vijana wengi wanaikombatia si kwa mambo ya coding bali mambo ya ujana. Wakati programmers wana different approach to that
AI unalipia pro version, unatengenezq documentbinaiambia weka katika Publishers, inaanza kumbwela mbwela hasa kuandika kwenye text (content) vitu visivyo eleweka, hapo ndio naichukia AI.
Fact kbs mim ntashangaa mtu anasoma computer science bado ajui jinsi gani Machine learning inafanya kaziWanao kataa AI wapo kwenye denial stage . Ishu ni kuendelea kuwaelimisha.
Miaka kidogo iliyopita watu walikuwa wanakataa framework. Baadae walikuja kukubaliana na ukweli. Hata AI ndo hivyo. Wenye Coding company lazima waone umuhimu wa AI kuweza kupunguza gharama na Muda kwenye development. Otherwise wajue kabisa wanaenda kuangukia pua.
Watakao tumia AI wanaenda kupunguza idadi ya Developers na kuongeza idadi ya mifumo kwa muda mfupi .
Hahaha, Al niliwaambia Nahitaji mtaji mkubwa niendeshe biashara waliniambia nikakope, nikawaomba wanisaidie kutafuta taasisi ya kifedha inayoweza kunikopesha, waliniambia hiyo hawawezi badala yake wanasaidia kunipa njia za kufikia lengo, nikawambia njia zenu ni butu sana hazina msaada kwangu, wakanikimbia.Katika dunia ya sasa, Artificial Intelligence (AI) imeleta mapinduzi makubwa kwenye sekta ya teknolojia, hasa kwenye coding na software engineering. Kwa kutumia AI, tunaweza sasa kuandika, kurekebisha, na hata kupima code kwa haraka zaidi, kwa usahihi zaidi, na kwa gharama ndogo. Hii imefungua mlango wa uvumbuzi mkubwa na ufanisi usio na kifani.
Lakini kwa masikitiko makubwa, bado kuna baadhi ya wahandisi wa programu (software engineers) — hasa wale wenye uzoefu wa muda mrefu — wanaoona AI kama tishio badala ya nyenzo. Wengine huona kama kutumia AI ni "kuchakachua" kazi au kutopitia "michakato ya asili ya kusolve tatizo". Hali hii inaleta masikitiko makubwa kwani mtazamo huu huchelewesha maendeleo, na pia huwanyima watu wapya nafasi ya kujifunza haraka kupitia msaada wa AI.
---
Story Fupi ya Kuelimisha:
Kuna mhandisi mmoja mzoefu aliyezoea kuandika kila kitu mwenyewe. Aliamini kuwa kutumia AI ni kupunguza ubunifu. Siku moja, alipata changamoto ya kutengeneza algorithm tata ya kuchuja taarifa kubwa. Aliamua kufanya kwa mikono, akatumia wiki mbili. Mwanafunzi aliyekuwa chini yake, kwa kutumia AI kama msaidizi, alitengeneza suluhisho linalofanana kwa siku moja tu.
Badala ya kumshangilia, mhandisi huyo alibeza kazi ya mwanafunzi. Lakini baada ya muda, alipochoka kufanya kazi kwa mikono kila siku, aliamua kujaribu kutumia AI kidogo. Alishangaa kuona kuwa AI haikuondoa maarifa yake, bali iliimarisha uwezo wake, ikamwezesha kufikiria mambo makubwa zaidi kuliko kufungwa na kazi za kurudia.
Tangu siku hiyo, alibadilika kuwa mmoja wa watetezi wakubwa wa AI kwenye coding — na sasa ni mshauri wa miradi mikubwa inayotumia AI kusaidia jamii.
---
Ujumbe Muhimu:
Tukubali AI kama msaidizi — si adui. Kumbuka: AI haibadilishi akili ya binadamu, bali huiongeza nguvu.
narudia tena, ni rookies na noobies pekee ndo watakomaa na AI tools kugenerate codeCode za AI na kama hujui code ni swala la mda, unajikuta uchi.. AI haijaja ku phase out Software developer, ila ni tools ya kurahisiha kazi
Wewe ndo tatizo sio Ai..Hahaha, Al niliwaambia Nahitaji mtaji mkubwa niendeshe biashara waliniambia nikakope, nikawaomba wanisaidie kutafuta taasisi ya kifedha inayoweza kunikopesha, waliniambia hiyo hawawezi badala yake wanasaidia kunipa njia za kufikia lengo, nikawambia njia zenu ni butu sana hazina msaada kwangu, wakanikimbia.
Ukiwa pro uwezi?narudia tena, ni rookies na noobies pekee ndo watakomaa na AI tools kugenerate code
tech fora zinazojielewa hutakaa ukute mtoaji/mpokeaji msaada kaposti ujinga ujinga uliokuwa generated na AI
na wewe hizo ni egoo.. huwezi ikataa AI na huwezi kabisa kwepa matumizi ya AI. Na kutumia AI haimaanishi mtu hujui, na kama dev walikuwa wanatumia Notebook, zilipo anza IDE walikuwa wanazipondea ila sasa hivi imekuwaje ? AI ipo hapo kurahisisha kazinarudia tena, ni rookies na noobies pekee ndo watakomaa na AI tools kugenerate code
tech fora zinazojielewa hutakaa ukute mtoaji/mpokeaji msaada kaposti ujinga ujinga uliokuwa generated na AI
niko kwenye ulimwengu wa IoT na Embedded miaka sasa na sijawahi tumia hiyo takatakahuwezi ikataa AI na huwezi kabisa kwepa matumizi ya AI.
Okayniko kwenye ulimwengu wa IoT na Embedded miaka sasa na sijawahi tumia hiyo takataka
Sasa wewe unajifanya smart kwani IOT haiwez tumia Ai 😁😁😁😁😁😁 ebu tupe elimu hapa...niko kwenye ulimwengu wa IoT na Embedded miaka sasa na sijawahi tumia hiyo takataka
mimi siyo smart, ila situmii AI tool yoyote ku-generate code bwasheeSasa wewe unajifanya smart kwani IOT haiwez tumia Ai 😁😁😁😁😁😁 ebu tupe elimu hapa...
Hata kutumia IDE ni umama tu,mimi siyo smart, ila situmii AI tool yoyote ku-generate code bwashee
mteja ananipa scope, nafungua IDE zangu nashuka hapo, namaliza, nawasilisha kazi
sawaHata kutumia IDE ni umama tu,
Poasawa
Ile full prompt idea mpk app kamili ndo jau ila kama unaenda kwa step by step ni rahis kujua wapi kuna matatizo..Naa si perfect ans sometimes haitoi majibu sahihi. Usipokuwa makini unaharibu kazi
Jamaa inabidi apande baskeli ya miti hizi za kisasa zinamchanganya 😁😁😁😁sawa
Uko sahihi mkuu.Wanao kataa AI wapo kwenye denial stage . Ishu ni kuendelea kuwaelimisha.