Wakongwe wa Coding Wanaogopa AI — Lakini vijana wanaikumbatia na kuwapita kwa Kasi

AI IS OUR NEW GOD
 
optimizations na ni pro kwenye industry
optimization ? wakati hizo AI code ndo zinaongoza kuwa na bloats zisizo na maana
na-generate code, kisha naanza kupitia mstari baada ya mstari kuangalia kipi kibaki, kipi kiondoke, kipi niongeze, kipi nibadili
huoni ni akili kichaa ?
ndiya maana nasema, ni kwa ajili ya rookies wanaonza jifunza, pro tech fora huwezikuta wanaruhusu hiyo rubbish
 
Binafsi nimekua kwenye coding kwa zaidi ya miaka 15 na sijatumia AI hata siku moja kufanya coding, naona kila mtu anasifia, nataka nianze kujifunza.
ukitumia AI ni kama mnakua watu wawili kufanya suluhisho japo ugumu wa kazi unapungua,bado unaendelea kuwepo maana AI Inakutegemea wewe uipe maelekezo(prompt) sahihi
 
Mambo programming kwa ujumla ni magumu... waliosoma kabla ya haya mapinduzi makubwa ya teknolojia walipita njia ngumu sana. Chuo watu walikuwa wanakesha kuandika codes.
 
Brother brother naona hujaelewa optimization kwenye nn, unaweza tumia vizuri tu ila mwisho wa siku ww kama dv guy una jukumu ya kupitia mistari yako

One thing is inapunguza time sana ambayo ungetumia ku correct ww na ku hunt bugs kabla huja deploy to next phase

Ukiseme kwa rookies dunia itakucheka sana? Ndicho wanachofanya programmers wa huku, even top elite code guys some of thing wanatumia AI, the facts kwamba ina minimize muda wa project ukiitumia vizuri ni advantage

ukisema ni for rookies ,dunia itakucheka sana
 
Kiukweli AI inarahisisha mambo ila mimi binafsi naona kama binadamu ni vyema kujiweka ktk mazingira magumu ili kuwa bora.

Ukisoma evolution utagundua jinsi gani huenda sisi ni kizazi chenye bahati zaidi kuwahi kutokea kwenye uso wa Dunia na ktk historia ya binadamu lakini ukiangalia upande wa pili Teknolojia ni kama imekuja kusimamisha ukuaji na ubunifu wa ubongo wa mwanadamu.

Teknolojia imetu-shape kiasi kwamba sasa hivi mtu hata hesabu ya kujumlisha anafungua calculator.

AI ni matokeo ya uwezo mkubwa tuliokuwa nao binadamu.

Ubongo wa mwanadamu ni zaidi ya AI au supercomputer yoyote ile... wanasayansi na wavumbuzi walipita wamethibitisha hilo, ila: mazingira, mtindo/mfumo wa maisha unaweza kufanya ubongo huohuo ukawa si kitu chochote.
 
AI bado sana, narudi palepale, kwa noobies na rookies ndiyo msaada kwao, newbie hajui maana ya bloat yeye twende tu
hakuna pro ana rely kwenye AI tool eti ku generate/optimize code, HAKUNA
 
AI bado sana, narudi palepale, kwa noobies na rookies ndiyo msaada kwao, newbie hajui maana ya bloat yeye twende tu
hakuna pro ana rely kwenye AI tool eti ku generate/optimize code, HAKUNA

AI bado sana, narudi palepale, kwa noobies na rookies ndiyo msaada kwao, newbie hajui maana ya bloat yeye twende tu
hakuna pro ana rely kwenye AI tool eti ku generate/optimize code, HAKUNA
Dont underestimate AI hapa ilipofika na inapokwenda.
Kama ww hutumii AI as tool you will be suprise na trend inayondelea

Major firms tena ma giat wa software now wana hire coders ambao wanauwezo pia wa kutumia AI to improve na kufupisha projects

Ndio trend ya ya dunia, kama ww hutumii you wilk be suprised huku nje wanavyoatumia, si kwamba wanategemea sana no ila kama tool

So ww ita for newbie, people are moving very fast pande hizi
 
moja ya tech forums kubwa kabisa ni StackOverflow (ambapo kuna hundreds of thousands of devs. from across the planet) na nyinginezo, code gen. AI assistant zimepigwa ban kwa mchangiaji yeyote kuitumia, kama ingekuwa helpful&reliable pro-wisely kama mnavyodhani ingeruhusiwa

nasema hakuna pro mwenye weledi akakomaa na hiyo kitu eti ku-generate code labda uwe rookie
kama ni wale pro dev wa Chanika na Mbande, wala sikatai

soma hapa kwa mda wako
 
Mkuu serikalini sasa hivi kila moja anatumia computer,kuna issue za e-office kazi nyingi sa hv ni mtandaoni.
Labda walinzi ndio hawatumii computer
 
Yo kipimo chako ni stackoverflow? Brother expand your search, just because wame ban it doesnt mean hawatumii

Akina github, reddit ,Dev to bado wana allow for broader solutions

That haimaanish kwenye real deployment hawatumii
 
Mkuu serikalini sasa hivi kila moja anatumia computer,kuna issue za e-office kazi nyingi sa hv ni mtandaoni.
Labda walinzi ndio hawatumii computer
Kuna maboss kibao kwenye hiyo e-office wamewaachia wasaidizi wao na masekretari wao mambo yanawapiga chenga, hebu fanya utafiti wa kina
 
Bro Ai inaandika code nzur kuliko human unatumia platform ipi ChatGpt previous naweza sema sawa ila sio saivii kila siku inakua boraa
Ai ukiww ujui kuipa instructions unafelii bado still logic thinking inatumikaa
 
😁😁😁 jamaa anasimamiaa ujinga wake
 
Saa
Sasa kaka unataka watu wasitumie Calculator kbs hayo mawazo hasi kbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…